Radiation Platinum Member Joined May 28, 2013 Posts 333 Reaction score 305 Nov 17, 2015 #2 long time kinyama mwalimu akiwa kwenye foleni
Elungata JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 40,719 Reaction score 33,928 Nov 17, 2015 #3 Ha ha ha,mwalimu alikua mkondefu kweli,kama kagame asee
Leonard Robert JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 11,152 Reaction score 7,423 Nov 17, 2015 #4 Elungata said: Ha ha ha,mwalimu alikua mkondefu kweli,kama kagame asee Click to expand... Lakini vijana wake akina Ben wakawa na matumbo makubwa kama wajawazito..
Elungata said: Ha ha ha,mwalimu alikua mkondefu kweli,kama kagame asee Click to expand... Lakini vijana wake akina Ben wakawa na matumbo makubwa kama wajawazito..
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,808 Nov 17, 2015 #5 Elungata said: Ha ha ha,mwalimu alikua mkondefu kweli,kama kagame asee Click to expand... Fegi zilikuwa zinamkondesha
Elungata said: Ha ha ha,mwalimu alikua mkondefu kweli,kama kagame asee Click to expand... Fegi zilikuwa zinamkondesha
Mfilisti JF-Expert Member Joined Sep 24, 2015 Posts 3,729 Reaction score 19,466 Nov 17, 2015 Thread starter #6 Leonard Robert said: Lakini vijana wake akina Ben wakawa na matumbo makubwa kama wajawazito.. Click to expand... hakua na tabia ya kujilimbikizia mali na kujali tumbo lake kama haya MAPANYA ya siku hizi
Leonard Robert said: Lakini vijana wake akina Ben wakawa na matumbo makubwa kama wajawazito.. Click to expand... hakua na tabia ya kujilimbikizia mali na kujali tumbo lake kama haya MAPANYA ya siku hizi
Mkuu rombo JF-Expert Member Joined Oct 18, 2012 Posts 1,556 Reaction score 423 Nov 17, 2015 #7 Leonard Robert said: Lakini vijana wake akina Ben wakawa na matumbo makubwa kama wajawazito.. Click to expand... ha ha ha Leonard Robert ngoja ben atoke uvunguni uone matusi yake Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Leonard Robert said: Lakini vijana wake akina Ben wakawa na matumbo makubwa kama wajawazito.. Click to expand... ha ha ha Leonard Robert ngoja ben atoke uvunguni uone matusi yake
kibogo JF-Expert Member Joined Apr 1, 2012 Posts 9,739 Reaction score 4,746 Nov 18, 2015 #8 Mkuu rombo said: ha ha ha Leonard Robert ngoja ben atoke uvunguni uone matusi yake Click to expand... Uchaguzi umeisha atatukania wapi?:watu wanasubiri wasikie kafa ili washangirie. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mkuu rombo said: ha ha ha Leonard Robert ngoja ben atoke uvunguni uone matusi yake Click to expand... Uchaguzi umeisha atatukania wapi?:watu wanasubiri wasikie kafa ili washangirie.
Mshobaa JF-Expert Member Joined Apr 7, 2013 Posts 1,722 Reaction score 692 Nov 18, 2015 #9 Kipindi kile document zote zinawekwa mfuko wa shati