Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,030
- 59,682
Nikutana nae Muhi2 chuoni. Kwanza nilimwomba tufanye discusion hiyo ilikuwa 2006 nilikuwa 2nd yr. Tar 14 nov 2006 nilijiaminisha na kurusha kete yangu akanijibu atanijibu baada ya wiki moja alinijib na tar 1 january 2007 tulikaa kwa muda wa saa 4 pale ferry tukijadiliana mambo mbali*2 ya maisha, na discusion ziliendelea tumemaliza chuo na sasa tunafanya kazi ndani ya wizara ya afya mkoa wa mwanza. Tunamtoto mmoja maisha yanaendelea. Wote ni madaktari.

mbona wewe haumwagi razi? njemba ulifumana nayo wapi?safi sana watoto nao watafuata nyayo!!!!!!!!!!
elezea wote bana!Lazima wa sasa hivi tu?!Wengine tumeacha na kuachika!
13 Wote??Ngoja niseme wawili wa mwisho..wakwanza tulikutana studio!Interest ya mziki ikatufanya mabeste mpaka kudondokeana!Namba mbili tulikutana kwenye party ya mtoto wa rafiki yangu!Hata hatukuongea pale...ila siku tatu zilizofuata tukajikuta kwenye nyumba moja maana alikua anaspend a few days kwa rafiki yake ambae ni rafiki yangu!Tukajuana na kuzoeana then mambo yakajipa!elezea wote bana!
nilikutana naye Guest mie natoka ye anaingia ikabdi nimsubiri nikamuomba no yake ya cmu akanipa nikamuomba tukutane tena ktk ile íle Guest
Sina mbavu,nimecheeeeeeeeeeeka mpaka nikakugongea na senks,ahsante kwa kunipa weekend ya kicheko lol uuuuuwwwwiiiiiii nahema kwa kucheka!nilikutana naye Guest mie natoka ye anaingia ikabdi nimsubiri nikamuomba no yake ya cmu akanipa nikamuomba tukutane tena ktk ile íle Guest
We kiboko na bahati yako jamaa hakushtukia dili vinginevyo leo ungekuwa meno huna!nilikutana nae bar yupo na kidume kingine kidume kilivoenda toilet tu hapo hapo nakachukua no ya simu ndo leo hii mama watoto
Lizzy,salamaaaaa au macho yangu? vyuo !3?13 Wote??Ngoja niseme wawili wa mwisho..wakwanza tulikutana studio!Interest ya mziki ikatufanya mabeste mpaka kudondokeana!Namba mbili tulikutana kwenye party ya mtoto wa rafiki yangu!Hata hatukuongea pale...ila siku tatu zilizofuata tukajikuta kwenye nyumba moja maana alikua anaspend a few days kwa rafiki yake ambae ni rafiki yangu!Tukajuana na kuzoeana then mambo yakajipa!
Unashangaa nini sasa?Hawa ni wenzi...bado wale niliopita nakuondoka 12!Lizzy,salamaaaaa au macho yangu? vyuo !3?