Ulikutana wapi na mwenza wako kwa mara ya kwanza?

She's just a friend kwa Sasa, ila nili kutana nae supermarket fulani aki nunua mahitaji na rafiki yake.

Nili tumia dk 10-15 kumtazama tu, followed her hadi alipo ishia, next day nae ali pita mitaa ya home nikiwa nime chill tu.

told my brother huyu tuna enda kumsaka, nika mpata and the rest is history.
 
Miaka kadhaa nlifungua saluni ya kike, nikaajiri binti flan hivi mrembo, siku nimezungukia mule kuongeza vifaa vya kazi nikakutana na pisi moja kali ikisetiwa nywele pale ofisini kwangu. I was shocked for a while. Nikamaliza kilichonipeleka then nikamwomba namba akanipa.
Sikumcheki kwa siku 4, then next day nikamtext na kumpanga hadi akajaa kwenye mfumo. Now she is my wife na tuko na watoto wawili.
 
(Na watoto wote wawili ni wa kwangu)

ulitakiwa kumaliza kibabe namna hiyo.
 
Hii vita ya wakubwa sasa huyo mtoto anaweza kuhimili vitu vizitozito? Mambo makubwa watoto wadogo hawayawezi we pambania kombe mzee
Aiseeee! Gambe yote niliyojaza kichwani imeyeyuka kama moshi, namana kunidhalau kimoyomoyo umeona haitoshi umeamua kuja kunivua mavyeo plus hadhalani, bwashee popote ulipo mkuu kunamsiba huku.
 
She's just a friend kwa Sasa, ila nili kutana nae supermarket fulani aki nunua mahitaji na rafiki yake.

Nili tumia dk 10-15 kumtazama tu, followed her hadi alipo ishia, next day nae ali pita mitaa ya home nikiwa nime chill tu.

told my brother huyu tuna enda kumsaka, nika mpata and the rest is history.
Mbinu za vijana washenzi washenzi (vibaka)

Umuoe Sasa,tapeli wewe.
 
Back
Top Bottom