Charles_nicholaus
Senior Member
- Nov 13, 2025
- 149
- 259
Hii mara nyingi ni mambo mengi kwenda mrama hasa maisha yanapokunasa makofiInategemea na situation, au sababu hasa ya hali hiyo ni nini.
Duuuh hatariii bas.Hii mara nyingi ni mambo mengi kwenda mrama hasa maisha yanapokunasa makofi
Duuh! hii kali.nilicheza dili la pesa na tajiri mmoja, kabla nilishapewa ABCD zake kuhusu kibunda, huwa habageini bei utakayotaja ndio hiyo hiyo ila sikuwaamini walionipa taarifa zake, nikaropoka bei ya kizembe sana alafu akasema kumbe hiyo tu kesho nalipa.
Nilitoka pale ofisini kwake nikaingia washroom nilijikuta najiongelesha mwenyewe na kujitusi.
Acha mkuu nikaona nikimwambia bei nyingine ataniona mhuni na anaweza cancel.Duuh! hii kali.
Na fursa kama hizo huwa azijirudii.Acha mkuu nikaona nikimwambia bei nyingine ataniona mhuni na anaweza cancel.
Ahsante kwa ushauri wako kaka, nitaufanyia kazi.Check afya yako ya akili mkuu, muone mtaalam wa magonjwa ya akili haraka sana. Hiyo ni hatua ya awali ya kuchanganyikiwa/kudata mkuu.
Hapana.Umejaribu kupima Malaria?
Yes, especially ukiwa kwenye high vibration ukiwa unaongea na mtu wako wa ndani ambae hawezi kuonekana kwa macho na watu wengine hali hio inatokea,Hello!, Jf-members.
Je, umeshawahi kujikuta unazungumza peke yako au unaongelesha vitu visivyo hai na ulichukua hatua gani?
kwahiyo huna hata rafiki wa karibu!Mimi huwa najiongelesha peke yng kmya kmya maana pia huwa spendi makelele kelele na watu so mambo mengi huwa najiuliza na najijibu..
Sasa mbona ulituuliza kuhusu yule dada ulie susa kudai pesa kisa kuonyeshwa upaja? The IcebreakerMimi huwa najiongelesha peke yng kmya kmya maana pia huwa spendi makelele kelele na watu so mambo mengi huwa najiuliza na najijibu..
Ndio hivyo mkuu nilipata kidogoNa fursa kama hizo huwa azijirudii.