lady mmarangu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 306
- 166
Kuheshimiana na kupendana, kuaminiana ondoaKubwa katika ndoa ni kuheshimiana kuaminiana na kupendana wataalamu wa saikolojia wanasema manapokuwa karibu upendo unazidi.
Karibu kwa maana ya kumbatiana kwa karibu kila inapowezekana lakini bahati mbaya ss waafrika wengi baada ya kuzaa mapenzi yanahamia kwa mtoto .
Wakati wa kulala mtoto hulala kati ya baba na mama hivyo mapenzi ya wazazi kuendelea kupungua
Kwa nini hutaki kumuamini mpenzi wakoKuheshimiana na kupendana, kuaminiana ondoa
Weeeeee sitaki kuukondesha moyo mie, simuamini mtu yeyote zaidi ya mama yanguKwa nini hutaki kumuamini mpenzi wako
Kama humwani itakuwa mnadanganyana hakuna upendo wa ukweli EvenlyWeeeeee sitaki kuukondesha moyo mie, simuamini mtu yeyote zaidi ya mama yangu
Wewe kumuamini mtu marufuku.....Kama humwani itakuwa mnadanganyana hakuna upendo wa ukweli Evenly
Nitashukuru karibuWewe kumuamini mtu marufuku.....
Nikipata muda wa kutype maneno mengi ntakuambia inbox, yani hata kaimani nlikokua nako asilimia 1 kamefutika
N mm ni inbox evelyn