Ulianzaje Kutafuta Maisha?

Ulianzaje Kutafuta Maisha?

Nakumbuka baada ya kuhitimu kidato Cha nne na matokeo kuwa mabaya Bimkubwa alihamaki Sana na akaniambia bwana kilicho Baki kwasasa ingia mtaani kutafuta ajira hata kama huna Elimu pia kuhusu suala la kulisit hilo liondoe Cha msingi niwewe kupambana ili tusaidiane haya Maisha.

Basi nikaanza kuzunguka huku na huku nikitafuta kibarua aisee haikua kazi ndogo kwakweli nakumbuka nilikutana na bango kwenye mstimu wa umeme Lile bango liliandikwa NAFASI ZA KAZI
Tunatafuta watu wa masoko
Watu wa viwandani
Watu wa store keeper
Then wakasema Elimu kuanzia darasa la 7 Hadi chuo basi kwakuwa waliweka na namba zao nikachukua zile namba,
Nilipofika nyumbani nikawapigia simu alipokea msichana sauti ilikuwa tamu Sana basi akanipa maelekezo
Kwamba niweze kufika officni kwao
Nakumbuka ofisi zao zilikuwa maeneo ya Tabata Shule,

Kesho yake nilijiandaa nikaenda zilipo ofisi zao nakumbuka nilifika pale ofisini kwao nikaambiwa nenda kamuone manager muajili wakanielekeza alipo kufika mule ndani duuh huyo meneja muajiri
Kalikuwa kademu kadogodogo tuu kamekaa kwenye kiti huku mapaja yake yapo nje yaani kamevaa kimini

Akaniambia inabidi nilipe hela kiasi Cha Tzs2000 ili nichukue form ambayo nilijaza
Katika ile form kulikua na maelezo kibao
Sijui Elimu yako, mwenyeji wa wapi
Dar unamuda gani nk
Ila Kuna kipengele waliandika kwamba uniform zao ni suruali na shat na tai moja kwa moja nikajua hii ni ile kazi yakutembeza vyombo mtaani

Basi nilijaza ile form nakwenda kutafuta wazamini, walikuwa wanataka wazamini wawili, nilipo Rudi home nikaenda kwa rafiki yangu Mudi ili anizamini Mudi akaniuliza kazi gani kwani
Nikwambia kutembeza vyombo mtaani, Mudi akaniambia achana nao hizo kazi zakishamba subiri nifanye mchakato nikuunganishe kazini kwetu, yeye alikuwa anafanya kazi ya usafi ktk kampuni ya usafi

Itaendelea..... .
 
Ha ha haa,unaleta episodi kwenye thread ya mwenzio
 
Sometimes me huwa nahisi ni kweli kuwa asilimia kubwa ya watu humu jf ni wako katika position nzuri kiuchumi ila si wote kwa sababu jamii ya wafu wa jf wako tofauti. Kwa maoni yangu ni kuwa ukiwa great thinker basi lazima uwe problem solver na kufikiria jinsi ya kutunisha mfuko wako
Mf. Zero IQ tunamjua kwa mambi yake ya hovyo ya kuchakatana lakini huwa anakiri yeye ana ofisi ya chips hapo centre ya nchi. Pia angalia positive comments zake kwenye issue za hela utaniambia. Alishinda kwny competition humu aliyoleta mwana jf mmoja kuhusu wazo bora la biashara.

Ni kweli kabisa mkuu kuna mambo mengi sana ya uhalisia nje ya hii platform ambayo kwa haraka haraka unaweza usiyajue
 
Back
Top Bottom