Ulianzaje Kutafuta Maisha?

Ulianzaje Kutafuta Maisha?

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
2,005
Share hili na wengine wajifunze kupitia wewe na wasiwe waoga wa kuanza kutafuta maisha. Pia itawasaidia Waliomaliza vyuo vikuu kujifunza na kusubutu kuanza kutafuta Maisha bila kutegemea mzazi wala ajira.

Historia yako ya utafutaji wa Maisha itawafanya wengine waamasike na kujifunza zaidi na kutokuwa waoga wa kutafuta Maisha

...Tuambie ulianzaje Maisha vitu gani ulivyopitia kwenye kuanza Maisha kwasababu kuanza maisha sio kitu kirahisi ambacho utakurupuka ni kitu kinachoitaji kujitoa na kusubutu bila kuangalia nani anayekuangalia

Watu wengi sana siku hizi wamekuwa waoga sana wa kuanza maisha yao unakuta mtu ana miaka 30 lakini bado anaishi kwao na hajui wapi kwakuanzia kutafuta Maisha
 
Share hili na wengine wajifunze kupitia wewe na wasiwe waoga wa kuanza kutafuta maisha
Pia itawasaidia Waliomaliza vyuo vikuu kujifunza na kusubutu kuanza kutafuta Maisha bila kutegemea mzazi wala ajira

Watu sio waoga maisha lazma uwe na mbinu thabiti! Huwezi kukurupuka tu kizembe eti unatafta maisha utafeli urudi home kwa aibu!
 
Watu sio waoga maisha lazma uwe na mbinu thabiti! Huwezi kukurupuka tu kizembe eti unatafta maisha utafeli urudi home kwa aibu!

Utakubalije kurudi nyumbani while una mikono miwili, Miguu miwili
Hadi mtu Akubali kurudi nyumbani huo ni uzembe
Maisha ni kama Vita mda wote unatakiwa uwe vitani kupigana otherwise lazima yakushinde
 
Utakubalije kurudi nyumbani while una mikono miwili, Miguu miwili
Hadi mtu Akubali kurudi nyumbani huo ni uzembe
Maisha ni kama Vita mda wote unatakiwa uwe vitani kupigana otherwise lazima yakushinde
Dah ni hatari man
 
Kipindi nipo nipo tu sina kazi wala kibarua miaka ya nyuma huko nilipata tabu sana kutafuta kitu cha kufanya ili nivimbe town

Nilisikia sauti ndogo sana kutoka kwenye njozi ikisema hivi
●Technology bado inahitaji watu ●

Nilijua naenda kuwa nani kwa njozi ile namshukuru sana Mungu
 
endelea kupambana
 
Aisee Mkuu, Mimi maisha utanitafuta, tukakaa chini, tukaweka mikakati, tukakubaliana yakaanza simple!
 
Share hili na wengine wajifunze kupitia wewe na wasiwe waoga wa kuanza kutafuta maisha
Pia itawasaidia Waliomaliza vyuo vikuu kujifunza na kusubutu kuanza kutafuta Maisha bila kutegemea mzazi wala ajira

Historia yako ya utafutaji wa Maisha itawafanya wengine waamasike na kujifunza zaidi na kutokuwa waoga wa kutafuta Maisha

...Tuambie ulianzaje Maisha vitu gani ulivyopitia kwenye kuanza Maisha kwasababu kuanza maisha sio kitu kirahisi ambacho utakurupuka ni kitu kinachoitaji kujitoa na kusubutu bila kuangalia nani anayekuangalia

Watu wengi sana siku hizi wamekuwa waoga sana wa kuanza maisha yao unakuta mtu ana miaka 30 lakini bado anaishi kwao na hajui wapi kwakuanzia kutafuta Maisha

.....”Mwaka 2017 Kipindi namaliza Chuo UD nilikuwa na wakati mgumu sana Kufikiria kurudi nyumbani na kuendelea kutegemea Wazazi

Ilibidi nijitoe nianze kutafuta fursa hapa hapa Dar hili niendelee kupambana na maisha Nilipata wakati mgumu sana wa kufikiria kitu cha kufanya kwa wakati huo na hela nilikuwa Sina nikapata akili ya kwenda kwenye maduka kariakoo napiga picha Nguo napost kwenye Account yangu ya IG na FB nikapata wazo la kufungua WhatsApp group hili iwe rahisi mimi kutangaza biashara zangu naenda kariakoo nachagua nguo kali napiga picha napost mfano kama nguo inauzwa dukani 12k basi me nauza kwa 18k-20k hii biashara ilinisaidia kulipia kodi na kula na kuendelea kukomaa na jiji la Dar

Bahati nzuri nikakutana na mtu akaniunganisha kwenye bank ya Equity nikawa IT officer kwa Mda wa Miezi sita cz aliyekuwa kwenye hiyo position alipata Tatizo, nikapambana kweli hili wakiona juhudi waniajiri kabisa ila kwa bahati nzuri haikuwa hivo kama navyotarajia, Miezi sita ilivyoisha basi nikawa sina kazi hapo na vihela vya kusurvive siku chache

Neema ikatokea tena mtu akaniunganisha na Kampuni kubwa sana hapa dar ya Logistic hadi leo hii nafanya kazi kwenye hiyo kampuni kama Head of IT department,

Kikubwa ndugu zangu ni kupambana na kutokata tamaaa na kusubutu hakuna kitu kirahisi kwenye Maisha bila kupambana, then kingine tuishi na watu vizuri huwezi jua atakusaidia vipi kwenye mafanikio yako wengine ni kama daraja kwenye maisha yako

Be humble and very work hard kila kitu kinawezekana
Aisee Afadhali Boss Mayunga nimekubambaa 😁 😁
Naomba niangalizie angalizie basi vi-opportunities ofisini hapo. Storekeeper niko available hapa na CV yangu mkononi. Hata kupangapanga ma-box poa tu.
Niko Serious Mkuu.
 
Aisee Afadhali Boss Mayunga nimekubambaa
Naomba niangalizie angalizie basi vi-opportunities ofisini hapo. Storekeeper niko available hapa na CV yangu mkononi. Hata kupangapanga ma-box poa tu.
Niko Serious Mkuu.

Hahahahah duh sawa
 
Ni fedheha kwa graduate was UD kuandika hivi.......waamasike.......kusubutu!
 
'...be humble and very work hard..' what?!!! Be humble and work very hard OR be humble and a very hard worker!
 
Humu kila mtu ni boss
Sometimes me huwa nahisi ni kweli kuwa asilimia kubwa ya watu humu jf ni wako katika position nzuri kiuchumi ila si wote kwa sababu jamii ya wafu wa jf wako tofauti. Kwa maoni yangu ni kuwa ukiwa great thinker basi lazima uwe problem solver na kufikiria jinsi ya kutunisha mfuko wako
Mf. Zero IQ tunamjua kwa mambi yake ya hovyo ya kuchakatana lakini huwa anakiri yeye ana ofisi ya chips hapo centre ya nchi. Pia angalia positive comments zake kwenye issue za hela utaniambia. Alishinda kwny competition humu aliyoleta mwana jf mmoja kuhusu wazo bora la biashara.
 
Back
Top Bottom