Ulevi umekithiri sana kwa vijana

Nkulu wa nchito

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
1,995
Reaction score
2,654
Jamani hivi ni mimi tu naona suala la ulevi limekithiri sana kwa vijana nimetembelea mikoa kama miwili hivi dah vijana wanakunywa sana
 
Ni Nchi zipi umetembelea mkuu ?
Maana huku ni International tu . By the way Russia ndio wanaongoza kwa kunywa Vodka , halafu wanafuatia Germany.
 
Tulikuwa site moja ya ujenzi sehemu moja Kisarawe II Kigamboni.
ilipofika mida ya mchana jamaa fulani wakaaga kuwa ngoja twende dukani mara moja tukachukue matunda.
Ajabu wamerudi wamebeba Double kick na energy.
wanasema hayo ndiyo matunda.
nikasema kweli kazi ipo.
 
[emoji2][emoji2][emoji2]dah
 
nimepita sehemu nyingi tu nilipofika uchagani na mbeya kwa wanyakyusa na wasafwa ilikatisha tamaa sana kuhusu future ya vijana wa maeneo hayo, hadi sasa najiuliza sana kuna laana hizo sehemu au ndio kasi ya dunia ipo kwao tu,, mfano mbeya wanaingiza pombe kali toka malawi na zambia, gongo zipo kila mtaa wanaziweka kwenye kopo za energy drink , ukipita makambako, njombe,songea,dodoma, moro , kigoma watu wanakunywa lakini sio sawa na moshi na maeneo yake jiran au mbeya
 
Kweli kabisa hizo sehemu mbili ni balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…