Ulevi Noma jamani

How come huyu jamaa alewe akati yeye alikuwa anakunywa Grand Malta na sisi Bombay sulphrine? Huu ni mkono wa Mtu....nadhani ni CDM wanamchafua huyu!
 
Mwacheni jamani anaongeza pato la taifa letu si mnajua vyanzo vya mapato ya nchi yetu ni pamoja na pombe, japo inaskitisha maraisi,wabunge wa kesho ni majanga matupu! sipati picha!
 
Si ajabu mwenzetu kapigwa roba ya. Mbaoo!afu cye twasema pombe si juice????mhhh
 
hyu atakua kamix viroba + zanz na aina flan ya taputapu co bure.bia haikufany uwe mwehu ivo aiseee
 
Ukumix madawa mlipuko unakua mkubwa. Wacha kuchanganya madawa ww. Chezea mix ww?(sio ile mix ya viazi vya upanga na wahindi.)
 
Ukumix madawa mlipuko unakua mkubwa. Wacha kuchanganya madawa ww. Chezea mix ww?(sio ile mix ya viazi vya upanga na wahindi.)

sio ulevi wa pombe tu ndio noma. mcheki kapuya anavyodhalilika kwa ulevi wa mapenzi.
 
ha ha ha dah balaaaa hapo yupo kitandaniiiii anaota kabisaaaa:smile-big:
 
Hivyo vitakuwa viloba tena vya burundii, akiamka salaama kesho yake lzm aache pombe
 
hee! kumbe malipo ya lumumba yamewafikisha huko! sishangai kwani ndo matumizi menyewe!

Advice:kama hauna pesa uza nyumba ukajenge heshima baa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…