Ulevi ni Noooomaaaaa

Ulevi ni Noooomaaaaa

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Posts
12,891
Reaction score
20,128
Jamaa kaingia bar kakuta
kibao kaunta
;;;BIA BURE MWAKA MZIMA
KWA ATAKAYEWEZA
SHINDANO LETU;;;;;;
akauliza kaunta kuhusu
lile tangazo akaambiwa
masharti yenyewe ni kuwa
kwanza anywe dumu zima la
gongo bila uso wake
kuonyesha makunyanzi, kisha
aingie chumba chenye mamba
ambae anaumwa jino na
kuling'oa halafu apande
gorofani kuna chumba yuko
mwanamke mmoja mkorofi
sana amshughulikie.
JAMAA: Duh gongo dumu
zima si uchizi huo.
Basi akaendelea kunywa bia
zake zilipomkolea
akamwambia kaunta hebu
leta lile dumu la gongo.
Akainywa bila kukunja uso
japo machozi yalikuwa
yanamlenga. Alipomaliza
akafunguliwa chumba chenye
mamba akaingia, kukasikika
kelele vurugu hatimaee kimya
kikatawala, ile watu wanataka
kwenda kufungua mlango
wakijua jamaa atakuwa
kaliwa na mamba, jamaa
akatoka na michubuko ya
hapa na pale lakini akiwa
salama. Jamaa huku
akiyumba kwa ulevi
akamuuliza kaunta
JAMAA: Haya mleteni yule
demu wenu mlisema
nimng'oe jino.
:frusty:
 
chwechwecheeeeee,muvi za kihindi izo,utapenda mwenyewe.mtu ansaidie biti wakat jino la dem linang'olewa
 
nyooooooo.... unadhani kuna cha mwanamke mkorofi hapo... ukorofi wa kumzidi mamba...!!!!!
 
Kwa hyo jamaa alimshughulikia mamba badala ya kumng'oa jino!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom