Ulevi ni noma

Ulevi ni noma

barite

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
227
Reaction score
120
Mlevi moja alipanda daladala konda akamwambia kwa hiyo tabia yako ya ulevi huwezi kufika mbinguni,mlevi akajibu kumbe mnaenda mbinguni nishushe kwani sikujua mi ninaenda kilabuni.


wish u weekend njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom