Ulega na mkewe wachukua form za kuwania ubunge

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
5,149
Reaction score
14,488
Wakati Waziri wa Uchukuzi Abdallah Ulega na Mkewe Mariam Abdallah Ibrahim wamechukua fomu ya kuomba kuwania Ubunge wa jimbo na viti maalum katika Mkoa wa Pwani. wadau mbalimbali wamehoji hatua hiyo imelenga kutatua kero za wananchi au ni ubinafsi wa madaraka.
 
Hatua hiyo imelenga kutatua kero za familia na siyo kero za wananchi
 
Wakati Waziri wa Uchukuzi Abdallah Ulega na Mkewe Mariam Abdallah Ibrahim wamechukua fomu ya kuomba kuwania Ubunge wa jimbo na viti maalum katika Mkoa wa Pwani. wadau mbalimbali wamehoji hatua hiyo imelenga kutatua kero za wananchi au ni ubinafsi wa madaraka.
Inasemekana viongozi wote wa ccm huko ni ndugu zake
 
Jimbo liongozwe na familia moja, na wapiga kura wawapitishe wote! Huu ni ufala, jimbo si mali ya familia na haliongozwi kifalme, kisultani wala kitemi, kuna wengine wasio na unasaba wanafaa kuchaguliwa pia, piga chini mmoja au wote
Jana mke wa Mchengelwa nae alichukua form ya ubunge..
 
Jimbo liongozwe na familia moja, na wapiga kura wawapitishe wote! Huu ni ufala, jimbo si mali ya familia na haliongozwi kifalme, kisultani wala kitemi, kuna wengine wasio na unasaba wanafaa kuchaguliwa pia, piga chini mmoja au wote

..Mnashangaa nini?

..Mbona hivi tunavyozungumza, mtu, na mkwe wake, wanaongoza wizara moja?

..Wizara ya Tamisemi iko ktk ofisi ya Raisi.

..Hivyo kikatiba, Raisi ndiye waziri wa Tamisemi.

..Na waziri wa nchi Tamisemi ni msaidizi wake.

..Mama Samia, na Mchengerwa.
 
Kweli bhana!!
 
Back
Top Bottom