Haaaa umemuweza jweli kaka anguKajibiwa... Sisi tulifanya utapeli kama huu way back 2000+ ni wa kizamani mno... Sema nikufundishe wa kisasa unaotuweka mjini bila bughudha
aloooo hawa jamaa walishawahi kunipigia simu na kueleza utumbo wao huo huo hahahahaha njaa haina akili. nikipomwambia ww tapeli alooo mpaka leo simu hapokei.Habali ya leo.mimi MICAEL KUYUNGA.samahani kuna boc wangu yupo serengeti mbuga ya wanyama poli yupo na wageni wake ni wazungu.watalii.wanataka kununua vitu vya kitamaduni kama vinyago vya kuchonga na mti wa mpingo,mabatiki,mashuka ya kimasai na vitu vingine vingi.kaniomba nimtafutie mtu naemjuwa na mwaminifu amsaidie kwenye manunuzi ya hivyo vitu.kama uko tayali nimpatie namba zako akupe maelekezo zaid.mimi naumwa matonses na kifua nimebanwa sauti imenikauka.uwe unanitumia sms kwa mawasiliano zaidi.
Namba iliyotumika ni 0621 375081
sasa mzee wa kilinge wanatuma sms za kipuuzi kwako sisi wengine watatufanyia nn ?Kajibiwa... Sisi tulifanya utapeli kama huu way back 2000+ ni wa kizamani mno... Sema nikufundishe wa kisasa unaotuweka mjini bila bughudha
Huu Utapeli hauwezi kuisha..... Juzi limenipigia lijitu likajitambulisha lipo Morocco makao makuu ya Airtel, nikauliza unasemaje, likaanza kuniuliza "unaitwa nani na upo wapi"nilimuuliza kama wewe ambae upo ofisini na makompyuta yako hunijui mimi hapo unafanya nini? Akakata simuHabali ya leo.mimi MICAEL KUYUNGA.samahani kuna boc wangu yupo serengeti mbuga ya wanyama poli yupo na wageni wake ni wazungu.watalii.wanataka kununua vitu vya kitamaduni kama vinyago vya kuchonga na mti wa mpingo,mabatiki,mashuka ya kimasai na vitu vingine vingi.kaniomba nimtafutie mtu naemjuwa na mwaminifu amsaidie kwenye manunuzi ya hivyo vitu.kama uko tayali nimpatie namba zako akupe maelekezo zaid.mimi naumwa matonses na kifua nimebanwa sauti imenikauka.uwe unanitumia sms kwa mawasiliano zaidi.
Namba iliyotumika ni 0621 375081
Ndo walivyo hao wakiona hawakuwezi wanakutukanaKuna mjinga flan kanipigia juzi eti ooh!Kuna mtu kakosea kutuma pesa kwako naomba uturudishie..nikamwambia hebu jaribu kwa mwingine utapata...baada ya hapo alivurumisha matusi vby sn
Hawa jamaa hovyo sana...waliwahi nipigia wakanambia wana deal za visima wako Katavi sasa wanahitaji dawa ya kutibu maji...kwa kua ninawafahamu nikajitoa akili ili nione mwisho wao...hawa wamejipanga baadhi wanajifanya wazungu hawajui kiswahili nikaenda nao mawasiliano masaa 2...mwisho wakasema basi tuma laki 5...nikawaambia subiri naenda kutoa pesa natuma baada ya saa 1 nikawachana kua huo utapeli kwa sasa umepitwa na wakati.. ..jamaa akacheka sana.Habali ya leo.mimi MICAEL KUYUNGA.samahani kuna boc wangu yupo serengeti mbuga ya wanyama poli yupo na wageni wake ni wazungu.watalii.wanataka kununua vitu vya kitamaduni kama vinyago vya kuchonga na mti wa mpingo,mabatiki,mashuka ya kimasai na vitu vingine vingi.kaniomba nimtafutie mtu naemjuwa na mwaminifu amsaidie kwenye manunuzi ya hivyo vitu.kama uko tayali nimpatie namba zako akupe maelekezo zaid.mimi naumwa matonses na kifua nimebanwa sauti imenikauka.uwe unanitumia sms kwa mawasiliano zaidi.
Namba iliyotumika ni 0621 375081
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hawa jamaa hovyo sana...waliwahi nipigia wakanambia wana deal za visima wako Katavi sasa wanahitaji dawa ya kutibu maji...kwa kua ninawafahamu nikajitoa akili ili nione mwisho wao...hawa wamejipanga baadhi wanajifanya wazungu hawajui kiswahili nikaenda nao mawasiliano masaa 2...mwisho wakasema basi tuma laki 5...nikawaambia subiri naenda kutoa pesa natuma baada ya saa 1 nikawachana kua huo utapeli kwa sasa umepitwa na wakati.. ..jamaa akacheka sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu Utapeli hauwezi kuisha..... Juzi limenipigia lijitu likajitambulisha lipo Morocco makao makuu ya Airtel, nikauliza unasemaje, likaanza kuniuliza "unaitwa nani na upo wapi"nilimuuliza kama wewe ambae upo ofisini na makompyuta yako hunijui mimi hapo unafanya nini? Akakata simu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mjinga flan kanipigia juzi eti ooh!Kuna mtu kakosea kutuma pesa kwako naomba uturudishie..nikamwambia hebu jaribu kwa mwingine utapata...baada ya hapo alivurumisha matusi vby sn
Mkuu sema tu lisadeki ndio hilo sie ambao hatuogagi mjini hatufiki ila mashetani wa hivyo ni wakunyatia tu alafu unamwambia nipe hiyo tenda live na tuongozane woteHabali ya leo.mimi MICAEL KUYUNGA.samahani kuna boc wangu yupo serengeti mbuga ya wanyama poli yupo na wageni wake ni wazungu.watalii.wanataka kununua vitu vya kitamaduni kama vinyago vya kuchonga na mti wa mpingo,mabatiki,mashuka ya kimasai na vitu vingine vingi.kaniomba nimtafutie mtu naemjuwa na mwaminifu amsaidie kwenye manunuzi ya hivyo vitu.kama uko tayali nimpatie namba zako akupe maelekezo zaid.mimi naumwa matonses na kifua nimebanwa sauti imenikauka.uwe unanitumia sms kwa mawasiliano zaidi.
Namba iliyotumika ni 0621 375081