Ule mzimu wa kwa mtogole

Mleta mada hebu fafanua ili mie ninaeishi huku bush nielewe.Huo mzimu ulimtokea nani huko kwa mtogole?
 
Kama
Ukipita saa sita kamili usiku maeneo ya kwa bibi nyau na sweet corner lazima ukutane nao kama wewe ni fisi
Kama wewe ni fisi?
Anyway,wanauza yale mambo yenu ama wanafanya nini mda huo?
 
Kuna siku nilikuwa party pale Ubungo plaza. Baada ya tukio kuisha, usiku mwingi, nikachukua boda boda mpk kwa Bibi Nyau, nikalale kwa homeboy wng then asubuhi nidamkie kibaha! Nilikutana nae huyu, tena akaniomba Kibiriti kama nnacho. Bahati mbaya sikuwa na Kibiriti.
 
Mleta mada hebu fafanua ili mie ninaeishi huku bush nielewe.Huo mzimu ulimtokea nani huko kwa mtogole?
Si mnajifanya Wa mikoan wajanja?
Ww itikia tu utaelewa mbele kwa mbele
 
mahaba niue!
mzimu na wenyewe unashikwa nyonyo! na kupigwa picha,
ha ha kweli mapenzi yanarun dunia
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji87] [emoji87] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mbona kama vile mashauzi kashikilia "NIDO " isidondoke!
 
Hiyo ni miziwa mikubwa tu, imeshikiliwa kwa ndani (kifua hicho)... Jini wa kwa mtogole alishaolewa kitambo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…