MsakaGamba
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 392
- 141
Mgomo utoke wapi mkuu? kwa walimu? hawa hawa wa voda fasta?
Migomo yaukweli haiandaliwi kwa muda mrefu.
Ni walimu waajiriwa wa private schools or government ndo watakaogoma au??
CWT mna mpango gani kufungua matawi katika taasisi ambazo zimeajiri watumishi wenye taaluma ya ualimu kwa mfano vyuo vikuu, TIE n.k