Ulaya waomba investments africa !!!! Du..

Hii inadhihirisha kabisa jinsi hawa jamaa walivyojijenga kwa kulinyonya bara la Afrika. Leo Ureno haiwezi kujitegemea baada ya kupoteza makoloni yake. Hispania ilijengwa kwa wizi wa dhahabu kutoka maeneo ambayo leo yanajulikana kama Latin America. Ureno itageuka kuwa nchi ya dunia ya tatu hivi karibuni ikifuatia Ugiriki.
 
Africa tungecheza turufu yetu vizuri i.e kuwa na masoko ya maana ya mitaji tungewatumikisha sana hawa jamaa. Lakini ndiyo hivyo na marais wetu akina Museveni, Nguema and the likes. Huyu wa kwetu wiki ijayo unaweza kusikikia yupo Ureno na bakuli lake.
Marekani sasa hivi kuna agencies zimeona nafasi hiii na zinaanza kutafutia watu kazi nje ya nchi, they are mushrooming fast.
 
Hii inadhihirisha kabisa jinsi hawa jamaa walivyojijenga kwa kulinyonya bara la Afrika. Leo Ureno haiwezi kujitegemea baada ya kupoteza makoloni yake. Hispania ilijengwa kwa wizi wa dhahabu kutoka maeneo ambayo leo yanajulikana kama Latin America. Ureno itageuka kuwa nchi ya dunia ya tatu hivi karibuni ikifuatia Ugiriki.

Good point. Siyo Ureno peke yao, inaonekana ni nchi za West zote. Sasa hivi Marekani. Unajua zamani hii debt ya Marekani ilikuwa haipo kwa sababu Marekani alikuwa anatumia sera za Imperialism zaidi ambazo zina ukandamizaji kwa nchi kama hizi za third world. Chukulia mfano deni alilokuwa nalo Marekani kwa Mchina livyokuwa kubwa. Je UK, au Germany hawana deni kutoka TZ? najua kabisa deni lilikuwepo lakini halikuandikwa, kwa sababu walitufanya wakoloni wao.
 
Angola's investments in Portugal have risen sharply in recent years.
The figure in 2009 stood at $156m (£99m), compared to $2.1m in 2002, according to the Portuguese Institute of International Relations and Security (IPRIS), a Lisbon-based think-tank.
Angolan companies own the equivalent of 3.8% of companies listed on Portugal's stock exchange, from banks to telecoms and energy, it say
 
walikuwa vitani hawa ...sisi hata kusimamia kampni letu la ndege hatuwezi ..kuandika katiba tu tunaangalia matumbo yetu badala ya maslahi ya taifa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
walikuwa vitani hawa ...sisi hata kusimamia kampni letu la ndege hatuwezi ..kuandika katiba tu tunaangalia matumbo yetu badala ya maslahi ya taifa

Ndiyo matokeo ya kuwepo madarakani Serikali taahira. Siku zote wanaweka maslahi yao mbele badala ya maslahi ya nchi kwa mategemeo kwamba watakuwepo madarakani milele.
 
Sasa hapo ni mti upi ulioteleza?, kwani angola wamekataa kumpokea?!, kumbuka kuwa inv plans za europe in Africa hazijashindwa so europe remain weaners, labda ufafanue maana ya methali yako otherwise umeingia chaka.
Portugal's prime minister has arrived in oil-rich Angola, which is boosting its investment in its former colonial power caught up in the eurozone debt crisis.
Angolan presidential aide Carlos Maria Feijo said Portugal's privatisation scheme would be discussed.

Soma zaidi hapa BBC News - Portugal's PM Pedro Passos Coelho visits Angola

MY TAKE: Kufa kwa nyani miti yote huteleza.
 
Sasa hapo ni mti upi ulioteleza?, kwani angola wamekataa kumpokea?!, kumbuka kuwa inv plans za europe in Africa hazijashindwa so europe remain weaners, labda ufafanue maana ya methali yako otherwise umeingia chaka.

- Una maana ya winners , au?
- Ukisoma kwa makini taarifa hiyo ya BBC utaona kwamba si Ureno tu ipo taabani kiuchumi. Nchi nyingi za Ulaya ambazo zingeweza kuisadia Ureno nazo zipo kwenye matatizo hayohayo. Angola nayo ina matatizo makubwa zaidi ya kiuchumi na kiutawala. Utajiri wa Angola umehodhiwa na watu wachache walio karibu na Rais wakati mamililoni ya watu wanaishi kwenye umasikini wa kutupwa. Angola haiwezi kutatua matatizo ya Ureno.
 
Hivi vinchi vya ulaya vinafilisika kwasababu miaya ya unyonyaji inapungua. Mimi huwa nashaanga wanvyosemaga eti sisi ni masikini wakati wao wanaishi kwa pesa wasiyo weza kuilipa.

Portugal

Public dept: $174,502,465,753
Public debt person: $16,402.76
population: 10,600,000
Public debt as % of GDP: 82.4%
Total annual debt change: -1.9%

Source: World Debt Clock
 
Nchi zilizo katika wakati mugumu ni Spain,ureno,ugiriki, italy na ireland republic. Lakini Ireland wanaonekana wana handle vizuri hili tatizo. Ndiyo maana waliamua pia kuivamia Libya. Lakini haitawasaidia sana.
 
Hivi vinchi vya ulaya vinafilisika kwasababu miaya ya unyonyaji inapungua. Mimi huwa nashaanga wanvyosemaga eti sisi ni masikini wakati wao wanaishi kwa pesa wasiyo weza kuilipa.

Portugal

Public dept: $174,502,465,753
Public debt person: $16,402.76
population: 10,600,000
Public debt as % of GDP: 82.4%
Total annual debt change: -1.9%

Source: World Debt Clock

tukianza kuzingatia masuala ya madeni, ukweli ni kwamba west na africa sote ni maskini tu

Africa kama ingekuwa na viongozi wanaofikiria, tunge chukua advantage ya yanayoendelea in the west kuinua uchumi wetu kwa kutumia vizuri natural resources na kuelimisha vijana ambao wanaweza kuwa source kubwa ya human resources inayoweza kuleta faida hapa nchini na ktk nchi nyingine ambako populations za wazee zinaongezeka kwa kasi.
Nadhani tungefaidika sana kwa kujiwekea economy agreements zinazo tupa faida. na sio kufuata "international trade agreements" ambazo hatukushirikishwa katika process nzima ya kuzijadili na kuziandika. Hizo zimewekwa na nchi chache kwa manufaa yao zaidi,
 
[h=1]Angola pours oil money into debt-ridden Portugal[/h] Tables turn as Luanda buys up Lisbon's assets and former colonial families return to Portugal's 'el Dorado'

  • Monica Mark in Abidjan
  • guardian.co.uk, Friday 18 November 2011 16.50 GMT
  • Article history
    Pedro-Passos-Coelho-visit-007.jpg
    Pedro Passos Coelho (right) visits Luanda to boost ties and forge business links with booming Angola. Photograph: Bruno Fonseca/EPA

    Not so long ago, thousands of Angolans were fleeing for Portugal. Now the tables have turned. Angola's remarkable image makeover from a war-torn African backwater to rising global oil power has been capped by news that it will provide a much needed shot in the arm to its debt-ridden former colonial masters.
    President Eduardo dos Santos said Angola was prepared to invest its burgeoning petrodollars in Portugal, which has been ordered to privatise struggling state-owned firms under a €80bn (£70bn) International Monetary Fund bailout.
    "We're aware of the difficulties the Portuguese people have faced recently and in such difficult times we must use our trump cards," dos Santos said at a press conference with the visiting Portuguese prime minister, Pedro Passos Coelho, according to Angola's state news agency Angop.
    Coelho Passos added: "This visit is of huge significance. It is a unique opportunity … to build a base for stronger and closer ties between the two countries, their citizens, their companies and states."
    "Remember that we are looking to privatise [state utility company] Energias de Portugal and [national grid] REN," he told Angola's state broadcaster.
    Other state-owned entities up for grabs include the national airline Tap and the Banco Português de Negócios. Banco BIC of Angola is set to buy the distressed bank for €40m – less than a fifth of its original market value. Isabel dos Santos, daughter of the long-serving president, is a part owner of BIC.
    Given that the IMF forecasts economic growth of 11% next year, while Portugal's will shrink by 1.8%, analysts say Angola's financial aid to Portugal will grow. "Angola already has large investments in Portugal's private sector so they do view buying in it as an opportunity," said one economist in Luanda, the Angolan capital.
    Meanwhile, the booming economy, fed by a 1.8m barrel-per-day oil industry, has prompted its Portuguese-speaking compatriots to flock south for business and work opportunities. The Portuguese foreign ministry said tens of thousands of citizens have set up shop in Angola over the last year.
    "Angola was at one point the Portuguese El Dorado," a Luanda-based diplomat said, referring to the period of colonial rule that ended in 1975.
    "A lot of Portuguese who were born here then went back to Portugal but their families are now coming back."
    Some Angolans have criticised the growing financial ties between Lisbon and Luanda, amid worries of capital flight and Angola's own yawning poverty gap.

    "Now is not the time to help out the Portuguese if we can't be sure the gap between the poor and rich doesn't close," a blogger on paginaglobal posted.

    In 2008, two-thirds of Angolans lived on less than €1 a day, while only 25% of children are enrolled in primary school.
    Luanda has been ranked the most expensive city in the world for expatriates for the second year running, ahead of Tokyo, according to Mercer consultants.
    Angola's breakneck growth is also affording Luanda some regional clout, with the country vying with Nigeria to become Africa's top oil exporter. It joins other African countries such as Ghana and Nigeria as among the fastest-growing economies in the world.
    State oil company Sonangol, which has been criticised in the past for a lack of transparency, runs operations in almost every sector of the economy. In 2001, BP was forced to back down on plans to publish its oil-related earnings from Angola after President Dos Santos threatened to kick the British oil major out of the country if did so.

who said Africa is now independent of her colonial masters..........????????????????????????? Whoever it is ought to be silent in his grave..........
 
Back
Top Bottom