Ulaya wamgomea Magufuli

Mahakama zipi sasa?au unazungumzia hizi zilizopewa maagizo ya kuhukumu chap chap ?
hivi jecho angelikuwa mwenyekiti wa marefa ikatokea marefa wakatishia kuzichapa katikati ya mechi moja
basi suluhisho ni kufuta ligi nzima!
 
Kesi ya nyani umpelekee tumbil unanategeme nn?
 

Hivi hamuoni ni jambo zuri sababu Cuf wamejitoa katika uchaguzi na mtashinda bila ya kutupiga mambomu!!?.Tatizo lipo wapi!!!?,tumewaachia kiroho safi kabisa nchi yenu mtawale kwa raha hamuoni huo ni uungwana !!?.Hatukuwa tukijua 'Machotara' hawana chao ktk ardhi ya mababu na mabibi zao ...
 
Kwenda maakaman cuf nisawa na kesi yanyan umpelekee tumbili
 
Sielewi kwa nini cuf kama wanaamini kuwa zec imekosea, si waende mahakamani ili haki ipatikane. Wanaogopa nini kwenda mahakamani?
Mahakama hiyo iko mbinguni?mahakimu wanatokea wapi?hawa waliopokea amri ya mkuu wa kaya siku ile ya Law?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…