Ulaya wako serious sana

bakundande jr

JF-Expert Member
Oct 22, 2021
507
670
Ikiwa zimepita siku chache baada ya kutamatika kwa ligi kuu soko nchini England maarufu kama Epl. Leo chama cha soka nchini humo kimetoa tayari kimetoa ratiba ya msimu ujao 2023/24.

Kwa mujibu wa ratiba hiyo msimu utaanza rasmi tarehe 6/8/2023 kwa mechi ya ngao ya jamii baina ya mabingwa wa ligi Manchester City na makamu bingwa ambae ni arsenal. Na rasmi msimu utaanza tarehe 11/82023 qmbapo Manchester City watafungua dimba wakiwa ugenini kuwavaa mabingwa aa championship Burnley wakiongoza na kocha kijana Vincent kompany.

Na rasmi msimu huo utafikia tamati tarehe 19/5/2024.

N.b tunamengi ya kujifunza katika hili
Ni yapi maoni yako kuhusu msimu ujao
 
Ukitaka kujua kuwa wenzetu wapo serious jezi wametoa mwezi wa tano, mechi tatu/mbili za mwisho za msimu 22/23 wamecheza na jezi mpya za msimu ujao 23/24.

Bongo tuna subiri mwezi wa nane, wengine siku moja kabla ya mechi unaambiwa mzigo upo Ethiopia unapigwa pasi.
 
Hapa kwetu sijui kwanini masuala yote muhimu yanaendeshwa kisanii sanii!
 
Ukitaka kujua kuwa wenzetu wapo serious jezi wametoa mwezi wa tano, mechi tatu/mbili za mwisho za msimu 22/23 wamecheza na jezi mpya za msimu ujao 23/24.

Bongo tuna subiri mwezi wa nane, wengine siku moja kabla ya mechi unaambiwa mzigo upo Ethiopia unapigwa pasi.
Kule hakuna wapiga feki.
Hapa Bongo ukitangaza tu kesho inapelekwa China baada ya mwezi tu zinaanza uzwa 10000
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom