Ulaya sasa hailipi!

uliyeleta huu uzi usiwatishe watu kwa kuiweka ugiriki kama ndio sababu ya ulaya kutokulipa....ugiriki inaeleweka kuwa nchi imefirisika mpk jumuiya ya ulaya wanataka kumtoa Kwenye umoja wao...ameshapewa sana pesa ili anyanyuke lkn mambo magumu tu
..huwezi kusema ulaya kugumu,kwanza unaposema kugumu unalinganisha na urahisi wa wapi?tanzania?...katika kupigana na maisha lazima kuwe na ugumu,hakuna urahisi tena hasa ukiwa ni mwanafunzi ndio maisha yanakuwa magumu sana hasa kwa hapa uingereza,lakini nataka kuwaambia kitu kimoja kuwa kila kitu ni kujipanga na kutumia akili tu.....ukiwa na karatasi zako maisha yanakuwa na nafuu na mepesi sana.
utaweza kusoma,kufanya kazi yoyote bila vizuizi...ila maisha ya ulaya(nnaposema ulaya namaanisha uk,German,France,Italy ,spain ,Holland)....yanataka discipline sio kujiachia na kujisahau
ushauri wangu kwenu ni kuwa ukipata chance ya kuja ulaya fanya hima usafiri,ila angalia unakwenda nchi gani,kuna nchi kibao zipo ulaya lakini wananchi wake wanawaza kuja uingereza..!..mi binafsi napaheshimu sana ulaya maana kumebadili maisha yangu na soon nafungua radio station yangu arusha...!
 
Siamini kama Hao Wote wamerudi kwa kupenda labda wamerudishwa tutajuaje maisha yanalipa popote kama una malengo kuanzia mwanzo wa Safari Yako Bila malengo Ndio MTU huishia kulaumu lol
 
Greece na yenyewe utaita nchi ya kwenda kutafuta maisha au kutafutwa na maisha?
 
Greece na yenyewe utaita nchi ya kwenda kutafuta maisha au kutafutwa na maisha?

Hapo umenena ndugu yangu wana madeni wao wenyewe yamewazidi talking of taking care of other people from different country
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…