Tofauti ya Ancelotti na Mourinhi ni kweye ushambuliaji. Timu za Mourinho huwa zina defence sana na kushambulia kwa counter.
Nimekusoma vizuri,ila binafsi bado nampigia upatu Mourinho kuwa kocha bora zaidi ya Ancelloti...