Ulaya, marekani waingilia kati Zanzibar

Ulaya, marekani waingilia kati Zanzibar

Kwenda kwenye nchi zao kutembeza mabakuli au kuhemea kibaba sio tatizo mbona wao wanakuja kwetu na wanachuma vingi tu!

Matatizo ya Zanzibar hayawezi kumalizwa na kelele za wazungu, haya matatizo tunaweza kuyamaliza sisi wa Tanganyika au wa Zanzibar wenyewe. Tujifunze Zanzibar hakuna mgogoro wa kisiasa, Zanzibar kuna chuki, matatizo ya Zanzibar ni matatizo ya kihistoria.
unaongea tuu mkuu hujui hata kujiunga ktk mfumo wa kidemokasia ni mkataba kati ya nchi husika na marekani.....
 
Matatizo ya wa Zanzibar hao mabalozi hawayajui, tunawashauri wakae kimya wasijifanye wanajua kila kitu.
Hao mabalozi wanajifanya wanayajua sana hayo matatizo ya zanzibar? Bac wayatatue wao
matatizo ya wazanzibar yapi mnayomaanisha hao wazungu hawayajui? hayo ya kuwa chotara hatakiwi kuongozi hiyo nchi? au ile ya kuwa nchi iliyopinduliwa haikabidhiwi kwa makaratasi?
 
Mimi nasubiri ifike machi 22...lolote la kutokea litakuwa lishatokea...!
 
.

Hata hivyo, mabalozi hao wamesema kulingana na mazingira ya Zanzibar kwa sasa, itakuwa vigumu kwa waangalizi wa kimataifa kutegemewa kushiriki kwa namna yoyote katika uchaguzi huo.

Eneo hili ndiyo limebeba maudhui ya taarifa nzima. Kama ulivyo msimamo wa CUF, na wao wamegoma kushiriki uchaguzi huo.
 
matatizo ya wazanzibar yapi mnayomaanisha hao wazungu hawayajui? hayo ya kuwa chotara hatakiwi kuongozi hiyo nchi? au ile ya kuwa nchi iliyopinduliwa haikabidhiwi kwa makaratasi?
unaongea tuu mkuu hujui hata kujiunga ktk mfumo wa kidemokasia ni mkataba kati ya nchi husika na marekani.....

Mkuu, kwa hiyo kelele za wazungu zinaweza kumaliza mgogoro wa Zanzibar?
 
matatizo ya wazanzibar yapi mnayomaanisha hao wazungu hawayajui? hayo ya kuwa chotara hatakiwi kuongozi hiyo nchi? au ile ya kuwa nchi iliyopinduliwa haikabidhiwi kwa makaratasi?
Inavyoonekana Zanzibar si tatizo la uchotara wala nini! Ila ule uhafidhina wa Party fulani ambacho hakiamini ktk kushindwa. Haya matatizo bado yapo ktk nchi zetu za Kiafrika. Yule anaeonekana ni afadhali kwa demokrasia ukimchunguza zaidi utagundua demokrasia yake ni kuwaachia wenzie waliopo upande mmoja nae na si vinginevyo. Mimi kwa Upande wa Z'bar siafiki kinachoendelea. Kama Maalim alishinda apewe hata km atawapeleka pabaya wananchi wake basi kwani wao ndo wamemchagua, watasahihisha makosa yao huko mbele ya safari wakiwa tayari wamejuta(kama hatokuwa Rais mzuri). Na km ni hofu ya Muungano kwani Muungano ni "Law of nature" ambayo haiwezi kubadilika km vile jua lichomozavyo Mashariki na kuzama Magharibi? Hakuna jamii yoyote ambayo iliibuka ikiwa jinsi ilivyo na ikabaki vilevile. Hata haya leo tunayaona ni Mataifa au nchi maybe miaka 10000 ijayo viumbe watakaokuwepo hawataishi ktk mipaka tunayoiona hivi leo. Km vitu vikitaka kubadilika tuviache vibadilike. Kuna rafiki yangu mmoja alishawahi kulalama juu ya hawa dada zetu jinsi wanavyokwenda nusu uchi, me nilimjibu jambo moja tu, yawezekana wanataka kurudi walikotoka kwenye kutembea uchi let them go.
 
Back
Top Bottom