Ulaka si mma

Unapandaga daladala? Hasa zinazoenda kariakooo? Unaonaga yale maji wanayokunywa madereva na makonda wao?

hayo maji sijui yana nini wanayanywa taratibu halafu mimacho inawatoka kama ngogwe mekunduuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…