Ulaji wa chips na afya yako!

Ulaji wa chips na afya yako!

Song of Solomon

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2021
Posts
2,751
Reaction score
5,623
Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote.

SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU glass ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250.

Kwahiyo WALAJI wengi wa CHIPS wapo katika HATARI ya kutengeneza SUMU kwenye MIILI yao bila kujua.

UTAFITI unaonyesha WATU wengi hupendelea KULA chips mayai, kuku, soseji au hata kwa mishikaki maana yake ni kwamba KIWANGO hicho cha MAFUTA huzidi kwa sababu na vyenyewe huwa VUMEKAANGWA

JAMBO la KUSIKITISHA ni kwamba WAFANYABIASHARA wengi wamekuwa hawazingatii UMUHIMU wa kutumia MAFUTA mara moja katika kukaanga VITU hivyo.

WENGI huwa wanapikia MAFUTA kwa zaidi ya mara mbili na hivyo kuzidisha HATARI zaidi

“Wanazidisha HATARI kwa sababu… kawaida MAFUTA yanapaswa KUPIKIWA mara moja. Kadri unavyounguza MAFUTA ndivyo ambavyo ule MFUMO wa MAFUTA MASAFI ambayo yanatakiwa kwa MWILI wa MWANADAMU unabadilika na kuwa MACHAFU, maana yake ni kwamba unapopikia MAFUTA zaidi ya mara mbili tayari yanakuwa yametengeneza SUMU ambayo haitakiwi MWILINI ,”

lakini WATU wanataka kufanya BIASHARA hivyo huendelea KUYATUMIA bila KUJALI au pengine KUTOKUJUA kwamba wanaziweka AFYA za WALAJI katika HATARI ya kupata MATATIZO endelevu

Chips ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu Nyingi za mwili wa Mwanaume. Matokeo yake ni mwili kuwa na mafuta mengi ambayo hupelekea mirija ya kusafirisha damu kuwa na mafuta ambayo husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba

kama ni mpenzi sana wa kula chipsi na hufanyi MAZOEZI! madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo, Kupungukiwa nguvu za kiume na Kupata Unene uliopitiliza. hivi sasa idadi kubwa ya vijana wanapata Matatizo mengi yanayo sababishwa na mkusanyiko wa mafuta katika miili yao

Hivyo kuwapelekea kuwa dhaifu hususani wakati wa kushiriki tendo la Ndoa na wenza wao! Kutokana na damu kutokuwa na uwezo wa kutiririka Kwa Kasi kwenye Uume na hii KUPELEKEA Kuwa na Uume mlegevu, Kukosa hamu ya tendo, kuwahi kufika kileleni na Kukosa stamina ya kumudu Tendo la ndoa Kwa muda mrefu

Je ni madhara GANI umeyapata KWA kutumia chips???

Kama umenielewa tuandikie hapo chini.

Health consultation
Tunajali afya yako
 
Kuna dogo aliwah ishi maisha ya kula chips mchana na usiku kila siku,nilimwambia anaweza pata matatizo lakin hakunielewa
 
HII DUNIA NAISHANGAA SANA
MAFUTA AMBAYO KIAFYA YANA SAIDIA,NDIYO YANAUZWA GHALI
SASA NYIE KAMA MNAJALI AFYA ZA WANADAM KWANINI MAFUTA YA ALIZETI NK,YASIUZWE BEI NAFUU
MKAOKOA MAISHA YA WATU

ova
Mkuu ni bora kujichanga tuu nakutumia hayo mafuta ghali (yana unsaturated fat kwa wingi sana) ni mazuri kwa miili yetu. Haya mengine mafuta ya wanyama ni hatari, ni basi tuu umasikini na tena kwa life style letu hili la kukaa kaaa tu, hata 1KM kutembea mtu hakuna.
 
Back
Top Bottom