Ulagai wa baadhi ya wanaume, | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ulagai wa baadhi ya wanaume,

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kiplagati26, Oct 16, 2012.

 1. kiplagati26

  kiplagati26 JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  [FONT=&amp]Katika mabadiliko ya kila siku kwenye jamii,kuongezeka kwa kasi ya utandawazi, kukosa malezi mazuri ya familia na mbali zaidi kukosa elimu ya dini ambayo ndio msingi mkuu kwa maisha ya binadamu wa leo wasichana,wanawake wengi wenye ndoa na wasiokuwa na ndoa wamekuwa wakilagaiwa na wanaume wenye ndoa na wasio kua na ndoa na hata vijana kwa jina kuu Serengeti boys, wanaume wengi wenye ndoa zao uwalagai na kuwapumbaza wanawake/wasichana wapumbavu kwa pesa na vitu vidogo kama nyumba, na Gari na kuwapumbaza akili zao kasha nao kuinguia mkenge na kuchezewa then mwanaume akichoka anasanuka,,,

  kama ujaachiwa ukimwi basi gono, na magonjwa mengine ya zinaa, kama ni mke wa mtu unaweza kupata vyote na zaidi kualibu familia yako,,,, Kwa baadhi ya wanaume wasio kuwa na familia au ndoa yani vijana wa kileo ananza kumupumbaza mwanamke kwa kumwita maneno matamu oooh dear, ooh baby, ooh my sweat apple, my pie wangu ooh my love na maneno ya bashasha mengi sana ooh unajuwa wewe mrembo, Basi wanawake/wasichana baadhi ndio wanapumbazwa na kuwa wapumbavu nao utakuta wanaludisha ooh my dear, hati sweateee, ok baby , ooh my wangu ah ah ah mwisho wa siku baby imekuwa baby, dear imekuwa dear tayari kashapumbazika na kuwa complete mpumbavu, mwisho wasiku anaingia mtegoni nakuishia kuchezewa kama mpira ,mwisho anaingia katika matatizo na kupata magonjwa na kuitawanya familia kama ni mke wa mtu.

  Ndio tatizo kubwa la WANAWAKE /WASICHANA/VIJANA WA KIKE NA WALE WENYE NDOA ZAO kuwa WAPUMBAVU Mambo hayo yanapatikana kwa wingi sana ukisoma vitabu vya Dini kama Biblia na Qur'an (MITHALI 14:1-3) Uchavu na mapigo mengi yatawapata (ISAYA MLANGO WA TATU 3) Madhala yao ni makubwa sana na ya muda mrefu kuliko hata zile starehe za muda mfupi na kuongezeka kwa wingi na kazi kubwa kwa watoto wa mitaani na yatima.

  TUJITAZAME KWA SISI WANAUME TUTAWACHEZEA WASICHANA MBAKA LINI, NA NYIE WANAWAKE KWA WASICHANA MTACHEZEWA MBAKA LINI UJUMBE UWAFIKIE NATAMBUA UKWELI UNAUMA LAKINI NI BORA KUJIFUNZA NA KUCHUKUA HATUA..AMANI IWE NANYI NA MALEZI MEMA KWA WATOTO NA FAMILIA[/FONT]
   
 2. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  birds of the same feather flock together.
   
 3. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  hapo unakuta matapeli wamekutana i.e aliyetoa pesa bandia kapewa cheni.
   
 4. kiplagati26

  kiplagati26 JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  well said@Ciello
   
 5. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,017
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  huo ni mwendo wa kula uliwe...over
   
 6. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mbona uko mbali sana, yaani kuhongwa gari au nyumba. wengine huhongwa hata vinywaji tu. lakini all in all moto unasubiri.
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Watachezewa 'mbaka' watakapotia akiri.
   
 8. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hivi nyumba kubwa huwa wanachezewa au wanachezeana?

   
 9. kiplagati26

  kiplagati26 JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ah ah ah scofied nadhani ulikuwepo katika mchezo huu
   
 10. kiplagati26

  kiplagati26 JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 277
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  umenifanya nikose mbavu tuombe Mungu juu yao.
   
Loading...