Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kwa ukubwa na uvundo uliyopo katika wizara ya Nyumba na maendeleo na kasi aliyonayo rais wetu mtukufu magufuri!
Lakini tunamuona waziri huyu mkongwe kwenye majukwa ya starehe kila kukicha utadhani ndio waziri wa michezo!
Kuna shida hapa Hebu rais mchungulie huyu Mzee! Watanzania tumeishawachoka watu wa namna hii! Ndio maana watu hatuipendi CCM kabisa!
Tunataka kazi kama za waziri wa afya kazi kama za waziri mkuu! kuna mambo mengi sana yanahitaji ufumbuzi hayahitaji fedha kabisa!
Kwa uzito wa wizara nyeti hii na muhimu kabisa kwa nchi yoyote Duniani kwa mtu mchapa kazi sidhani kama atapata hata muda wa kulala lakini namuona kila siku anaambatana na nape waziri wa michezo! Kama wa kufukuzwa nadhani ateuliwe kufukuzwa wa kwanza iwe mfano!
Nawakilisha Tanzania kwa mapenzi ya dhati!
Amina.

Last edited by a moderator: