Hapo umeshahusianisha na ushoga!
Kuna kipindi yule jamaa anajiita
Barbarosa alileta uzi mmoja sensitive sana wa kuhusu tabia ya watanganyika kuoanisha kila jambo na ushoga!
Japo kweli mwanaume kusuguliwa miguu haijakaa sawa sana, lakini ungefuata mambo yanayokuhusu badala ya kujipa kazi ya utarishi ya kuripoti kila unachokiona mtaani kwako!
Dalili za umama!