Ukweli Wanaume aina hii wanaboa sana

Ukweli Wanaume aina hii wanaboa sana

sayoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
5,281
Reaction score
7,953
Sasa janaume zima linasuguliwa miguu na mwanaume mwenzie ndo nn Sasa, hili jamaa boya sana
IMG-20190813-WA0010.jpeg
 
Fuata mambo yako lasivyo utajikuta unafia usingizini kisa mtu mwingine.
Hata hivyo he's very brave. Kufanyiwa hivyo public na watu wakakuona wakakujudge siyo jambo jepesi.
 
Hapo umeshahusianisha na ushoga!

Kuna kipindi yule jamaa anajiita Barbarosa alileta uzi mmoja sensitive sana wa kuhusu tabia ya watanganyika kuoanisha kila jambo na ushoga!

Japo kweli mwanaume kusuguliwa miguu haijakaa sawa sana, lakini ungefuata mambo yanayokuhusu badala ya kujipa kazi ya utarishi ya kuripoti kila unachokiona mtaani kwako!

Dalili za umama!
 
Bila Shaka na ww utakua na tabia hizi , acha mara moja ,mbioni kuja kupakuliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom