Mavazi huvaa nguo zinazotengenezwa na viwanda vyao Hakuna uniform japo wanasiasa wengi huvaa suti Lakini Sio Kama zile za nchi za Magharibi .Radio na tv binafsi hazipoKuhusu mavazi likoje na radio na TV binafsi zipo?
Safi sana leo umetema madini. Ulifaa kuwa mshauri wa serikali tungefika mbaliMavazi huvaa nguo zinazotengenezwa na viwanda vyao Hakuna uniform japo wanasiasa wengi huvaa suti Lakini Sio Kama zile za nchi za Magharibi .Radio na tv binafsi hazipo
Nimeenda huko nimekaa siku 6Huyu jamaa ni kilaza sana ,nani ameruhusiwa kusomea huko pitia BBC Swahili kuna Uzi unaitwa mfalme was Pyongyang ndio uijue Korea kaskazini , ambako hata kuwa na simu ni jambo zito
Leta nondo bro umeme maji miundombinu ikoje haswa huko?
Utakuwa pekee uliekaa huko nikama hakuna fursa huko
Kumbe wako vizuri sanaa,miundombinu ikoje haswa huko?Mkuu hakuna inchi isiyo kuwa na fulsa Korea kaskazini iko vyema kuliko inchi nyingi tu sema propaganda za wazungu zinazidi kuiharibia sifa ... Jama wanauwezo wakutengeneza Sim na ma gari na vitu vingi tu ... Je Tanzania yaweza kutengeneza nini ??
Kumbe wako vizuri sanaa,miundombinu ikoje haswa huko?
Kwa hiyo Mimi ndio unanichukulia Kama kipimo Cha kujua fursa Kama haipo siyo? Kwamba mahali nikikaa Mimi Basi hapo mahali hamna fursa !!!! Niombe samahaniUtakuwa pekee uliekaa huko nikama hakuna fursa huko
Hapo nimekuelewa kumbe hata ukiwa maskin lakn unamsujudia mmarekani lazma usemwe vzr?Ipo safi tu mkuu ukiona majengo yao tafauti sana na wanavyosema wabaya wao ... Jama wamekata kuwa watumwa wa wamarekani ndo sababu inchi iyo kucfuliwa
Usafiri kule mkubwa Ni wa kutumia Train hawatumii barabara SANA Kama sisi .Kutoka wilaya Hadi wilaya mkoa Hadi mkoa Ni kwa kutumia Train.Hivyo gharama za usafiri ziko chini Sana.Reli kule Ni nyingi kuliko mabarabara.Na wakorea kaskazini hupenda zaidi kusafiri na train kuliko mabasi.Shirika la reli Ni moja ya makampuni makubwa ya serikali yanayoiingizia serikali pesa nyingi sanaKumbe wako vizuri sanaa,miundombinu ikoje haswa huko?
Sijawhi kusikia watu wakisemasema wanaenda North Korea, zaid ni china na south KoreaKwa hiyo Mimi ndio unanichukulia Kama kipimo Cha kujua fursa Kama haipo siyo? Kwamba mahali nikikaa Mimi Basi hapo mahali hamna fursa !!!! Niombe samahani
Tangu umejitahidi kuipamba North Korea na sifa mkweche hizo. Mtakuwaje mtandao moja halafu useme mambo yako sawa !!. Nchi isiyoruhusu ushindani unategemea nini ?!.Usafiri kule mkubwa Ni wa kutumia Train hawatumii barabara Kama sisi .Kutoka wilaya Hadi wilaya mkoa Hadi mkoa Ni kwa kutumia Train.Hivyo gharama za usafiri ziko chini Sana.Reli kule Ni nyingi kuliko mabarabara.Na wakorea kaskazini hupenda zaidi kusafiri na train kuliko mabasi.Shirika la reli Ni moja ya makampuni makubwa ya serikali yanayoiingizia serikali pesa nyingi sana
Sana tu mbona ..mzee mseveni na kagame ni ma die friends wa american lakini sasa angalia wanayo yafanya utapata jibuHapo nimekuelewa kumbe hata ukiwa maskin lakn unamsujudia mmarekani lazma usemwe vzr?
Huyu jamaa ni kilaza sana ,nani ameruhusiwa kusomea huko pitia BBC Swahili kuna Uzi unaitwa mfalme was Pyongyang ndio uijue Korea kaskazini , ambako hata kuwa na simu ni jambo zito
Nimekaa Korea kaskazini nikisomea itikadi kwa miaka miwili.Korea kaskazini Ni nchi pekee duniani ambapo katiba yao ya nchi imetamka wazi kuwa Ni marufuku mwananchi kulipa Kodi ya aina yeyote.Korea ya kaskazini serikali inaendeshwa kwa faida za mashirika ya umma.Haiendeshwi kwa Kodi Kama sisi.Wao walikataa siku nyingi kuwa tegemezi kwa wananchi walipa Kodi.Ni nchi pekee duniani ambayo Kodi ya mapato Ni marufuku
Wanaenda watu kibao kutalii lakini vyombo vya habari vingi vya magharibi hawatangazi wao sababu hawataki usikie kuhusu mazuri ya korea kaskazini. Kwa nini sababu kubwa ziko kama hizi hapa msikilize huyuSijawhi kusikia watu wakisemasema wanaenda North Korea, zaid ni china na south Korea
Kwani mambo ya North Korea lazima yatangazwe na media za nchi za magharibi tu? Za nchi zingine zinafanya nini?Wanaenda watu kibao kutalii lakini vyombo vya habari vingi vya magharibi hawatangazi wao sababu hawataki usikie kuhusu mazuri ya korea kaskazini. Kwa nini sababu kubwa ziko kama hizi hapa msikilize huyu
Wao ndio Wana mtandao mkubwa wa vyombo vya habari vya kimataifa kwa hiyo wakiamua kukubania hutajulikana kimataifaKwani mambo ya North Korea lazima yatangazwe na media za nchi za magharibi tu? Za nchi zingine zinafanya nini?
Ni kweli kabisaMkuu hakuna inchi isiyo kuwa na fulsa Korea kaskazini iko vyema kuliko inchi nyingi tu sema propaganda za wazungu zinazidi kuiharibia sifa ... Jama wanauwezo wakutengeneza Sim na ma gari na vitu vingi tu ... Je Tanzania yaweza kutengeneza nini ??