Ukweli wa mambo

Ukweli wa mambo

Joined
Jun 28, 2015
Posts
28
Reaction score
1
Unajua katika ulimwengu wa digital na mitandao ya kijamii kumekua na mambo mengi sana yana fanyika lakini moja wapo ni ili la kupost picha za utupu na watu kuziangalia.

Lakini katika pitapita zangu nimepita mahali nikakuta wanaongelea ili swala la kuangalia picha hizi eti zina komaa sura, ila sina uhakika na jambo ili kama nikweli kua picha hizi hua ukiangalia sana zina fanya sura ya mtu kukomaa.

Wadau nisaidieni juu ya dai hili
 
Na wale wanaoziona daily natural kabisa wanakomaa akili au?
 
Back
Top Bottom