Kaka sema ukweli inaelekea kunajambo unalijua vizuri kwenye hiki kifo, sema unawasisi watakukolimba, usiogope, ila kuna mtu alilala akaota ndoto kijijini kwao mwanakijiji maarufu kafa, lakini walinzi wa mfalme walihisiwa kutia chumvi, kifo cha uyo mmwana kijiji mwwenzetu, shujaa kweli hapa kijijini kwetu, ila kuna mtoto wa kijakazi mmoja aliota ndoto hapa hapa kijini kwetu kwamba, wasimamizi wa ulinzi wa baba ya famili yetu, kwamba ni mtu anae husishwa na kifo hicho, na hiyo ni baada ya yeye kuahidiwa kupewa bakshishi endapo atatekeleza wazo la bwana wake la kumkata kisemeo kijana aliye onekana anamsaliti mkuu. wetu. Nawatakia mwakampya salama, wasalam.