Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 22,494 Reaction score 33,052 May 7, 2021 #1 Kauli ya kuwa Julius Nyerere aliwaambia, "Wavunje chama chao," Mzee Msekwa kamkusudia Abdul Sykes lakini kukosa ujasiri wa kulitaja jina la Abdul kwani jina hili kutajwa na kuhusishwa na TANU ilikuwa ni mwiko mkubwa. Ilikuwa ni, "taboo." An-nuur 7 April, 2021
Kauli ya kuwa Julius Nyerere aliwaambia, "Wavunje chama chao," Mzee Msekwa kamkusudia Abdul Sykes lakini kukosa ujasiri wa kulitaja jina la Abdul kwani jina hili kutajwa na kuhusishwa na TANU ilikuwa ni mwiko mkubwa. Ilikuwa ni, "taboo." An-nuur 7 April, 2021