PreGE2025 Ukweli Vs Uchawa: Mbunge Gambo Kumwaga Mboga Sakata la Rushwa Arusha, RC & Waziri Waandae Majibu Mengine

PreGE2025 Ukweli Vs Uchawa: Mbunge Gambo Kumwaga Mboga Sakata la Rushwa Arusha, RC & Waziri Waandae Majibu Mengine

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
79,084
Reaction score
84,978
Mambo yanazidi Kunoga huko Arusha ,baada ya kunywa mchuzi Sasa ni minyama kutoka Kwa Mbunge 😁😁

Ngoma hii Bado mbichi,haijaisha mpaka iishe Stay tuned ,save the date.
---
Mei 10, 2025 kuanzia saa nane Mchana kwenye Viwanja vya Kilombero Jijini Arusha, Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo atakuwa na Mkutano wa hadhara na wananchi wa Jimbo lake,kuwasilisha kwa uwazi na ukweli utekelezaji wa shughuli mbalimbali za maendeleo kwenye Jimbo lake kwa mwaka 2020/25, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa utaratibu wake wa kila wakati kuzungumza na kuwapa mrejesho wananchi wa Jimbo lake.

Kulingana na ratiba, Kabla ya mkutano huo wa hadhara, Wananchi wa Arusha Mjini wataanza na Matembezi ya Amani kutoka CCM Wilaya kuanzia saa 5 kamili asubuhi ya Tarehe 10/05/2025.

Mhe. Gambo anakukaribisha sana ewe Mpenda maendeleo, kuja kujadiliana pamoja kuhusu maendeleo na ustawi wa Jimbo la Arusha Mjini.

Chanzo: Jambo TV

View: https://youtu.be/vg1Fix5fp24?feature=shared
 
Labda mipasho dhidi ya RC,akiendelea na aliloliombea msamaha bungeni mchana kweupe atakuwa mwehu sasa!
 
Hayo maandamano aka matembezi ya amani yamepata kibali kutoka tanpol? Au kwa vile wao ccm ndiyo 1st class citizen hawahitaji kibali?
Yaani hii nchi imeshakuwa typical shithole kiasi cha kutia aibu na kuhuzunisha sana.

Ila ipo siku tu waliolala wataamka itakaa sawa, japo kwa kuchelewa. Hawa wanaotanua leo wajukuu zao watakinywea kikombe
 
Yaani hii nchi imeshakuwa ya typical shithole kiasi cha kutia aibu na kuhuzunisha sana.

Ila ipo siku tu waliolala wataamka itakaa sawa, japo kwa kuchelewa. Hawa wanaotanua leo wajukuu zao watakinywea kikombe
Wataamka bila utapeli wa Kisiasa
 
Kajikanyaga sana kumtetea mbunge ambaye wenye shida zao kwa miaka almost mitano wanajua hazitatui, yeye anafosi kutumia dakika mbili tu kuwabadili mtazamo wao! Mtu mmoja alisema , "the masses of the people are as accurate as a thermometer". Hata kama ni wajinga kiasi gani, hawajasoma ila wakiwa katika kundi, kundi linakuwa timamu na sahihi.

Na haya ndo madhara ya kung'ang'ana kupitishana bila kupingwa.

Dr. Kimei mzee wa watu wala hakuwa na mpango na siasa, ila mizuka ya Magufuli ya kudhani kila mtendaji anafaa kuwa mwanasiasa na kutaka aweke mtu amtakaye yeye katika kila position hata kama mhusika hataki imetufikisha huku leo hii. Kuna wabunge wa namna hiyo wengi tu, hata jimboni kwetu tunaye, ni mzigo.
 
Yaani hii nchi imeshakuwa ya typical shithole kiasi cha kutia aibu na kuhuzunisha sana.

Ila ipo siku tu waliolala wataamka itakaa sawa, japo kwa kuchelewa. Hawa wanaotanua leo wajukuu zao watakinywea kikombe
Na wewe muda wako ukifika utatanua hata kama itakuwa mwaka 2125 sijui kama bado utakuwepo!
 
Kimei was not a good Politician, Ile 2020 waliochimbeza Aingie kwenye siasa walimpoteza nadhani alingia kwa promise kuwa probably atakuwa appointed kama Waziri wa Fedha, Sasa hawezi tena kuface hao wananchi and he will be out of the game haraka sana arudi kwenye Post zake za Kiutendaji Kwasbabu ana track records nzuri upande wa Financial firms, Atafute kazi kwenye international communities aondoke zake Bongo hapa
 
Ja

Jamaa zetu wenye akili za kuvuka barabara na ubabe wakaacha kumfanya waziri wa fedha.Wakampa mla punda kazi kumloga mama na waganga wake.Anajisifia kukopesheka.Kimei ni mtendaji na alikoitoa CRDB inajulikana
 
Apewe Waziri wa Fedha kama nani ? Kwa kipi spesho alichonacho Cha maana?

Hawezi kuwa Waziri w Fedha mtu ni bubu
 
Back
Top Bottom