Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,506
Ninacho kiamini ,Freeman Aikael Mbowe ndiye alikuwa Mlengwa mkuu kwenye SAGA hii ya vita ya MADAWA ya kulevya ili kumchafua Chafua ,,kwa JAMII na Kufifisha Upinzani kwa kuaminishwa hvyo,Ukweli baada ya kutangazwa jina Tuu la Mbowe Leo Igizo la 3 vita Imegeuka ya Kimya kimya....
Nashauri kwakuwa Manji,Gwajima na wengine,hawakukutwa na ushahidi wowote,Makonda AITE tena Vyombo vya habari kuwasafisha kama Alivyo wachafua...
UKWELI UKO HIVI,KWAKUWA WALIO ATHURIKA WAPO ADHARANI NAO WAUZAJI WATAJWE ADHARANI KWANINI GWAJIMA YES AKINA CHIFUKANUTI NO????
Tuzumze bila Uchama ndio maana tunasema alilengwa Mbowe,baada ya kutajwa Mbowe sasa Vita itakuwa Kimya kimya!
#PIGAVITAMADAWAYAKULEVYA#
#TUTAJEKWAMAJINAILITUWAJUE#
[HASHTAG]#HATA[/HASHTAG] KAMA NI BABA YANGU TAJA TUU#