Wadau Habarini Niwatakie Sabato Njema Yenye Baraka Tele.
Kuna Taarifa Nimezisikia Lakini Sijapata Uthibitisho Hasa Ule Wa Kiutafiti. Hata Hivyo Nikijaliwa Naweza Fanya Utafiti Siku Za Usoni Ili Nipate Taarifa Sahihi.Naambiwa Kuwa Zipo Baadhi Ya Nchi Zinaongoza Kwa ' Uhalifu'' Kulinganisha Na Nchi Nyingine. Cha Ajabu Nchi Hizo Zenye Kuongoza Kwa Uhalifu Zina Ustawi Mkubwa Sana Wa 'Ustaarabu'. Wametaja Baadhi Ya Aina Za Uhalifu Huo Ni Pamoja Na Matukio Mengi Ya Ukosefu Wa ''Maadili'' Wa Kiwango Cha Hali Ya Juu Uliopewa Baraka Rasmi.
Cha Ajabu Ni Kuwa Maeneo Hayo Yenye Uhalifu Mkubwa Pamoja Yana Waumini Wengi Wa ''Yehova''Wakati Maeneo Yaliyo Na Mapungufu Ya Uhalifu Huo Hayana Kabisa Waumini Wa ''Yehova''Wala Hata Dalili Za Kutaka Kuwa Nae.
Katika Nchi Hizo Zilizo Na Waumini Wa Yehova Matukio Ya Kushika Mimba Bila Kuolewa Hayapo,Utoaji Mimba Haupo,Wizi Haupo,Ulawiti Haupo,Wizi Haupo,Usemaji Uongo Haupo,Maradhi Ya Zinaa Hayapo, Tama Ya Mali Haipo n.k
Niwakaribishe.