sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,704
- 9,932
Sawa, umemaliza au itaendelea?View attachment 2602021
Juzi kati hapa tumeona Nandy akiwashambulia Wasafi media akiwatuhumu mambo ya kitoto yasiyo na kichwa wala miguu.
Unajiliza kutengeneza huruma ili watu wakuokoe na kibano cha Zuchu ila haitosaidia kukandwa kupo pale pale.
Cry moreSawa, umemaliza au itaendelea?
Nandy anaitwa Fau?Acha ushambenga,,,Zuchu anamheshimu Sana Nandy ndio maana kila Mara amekuwa akimuita Da Fau ishara ya heshima,,,Sasa chawa umeshaanza uchonganishi
Faustina Charles Mfinanga......au NanderaNandy anaitwa Fau?
Sawa NandyView attachment 2602021
Juzi kati hapa tumeona Nandy akiwashambulia Wasafi media akiwatuhumu mambo ya kitoto yasiyo na kichwa wala miguu.
Wote tunajua Nandy hajawai toa ushirikiano kwa Wasafi media akiombwa interview au kumshirikisha kwa namna yoyote anachomoa. Lengo kutengeneza kitu kwa mashabiki kuwa anabaniwa ili apate huruma. Tuachane na hayo.
Shida kubwa ya Nandy kwa sasa ni Zuchu. Amejawa hofu akiona Zuchu yupo pale kileleni na anazidi kupanda. Hii ni normal kwa binadamu yoyote aliyekuwa juu alafu ghafla anatokea mtu anampiku lazima ashikwe na bumbuwazi.
Alikuwa anatuma watu mitandaoni wamchafue Zuchu. Many thanks kwa Mwijaku alituvujishia sauti ya mipango yake miovu aliyokuwa anapanga sirini kutuma watu wamchafue Zuchu. Watu waliisikia na bado wakakausha Zuchu alitumia hekma kuepusha bifu ambalo unalitafuta likubebe kama style aliyotumia Kiba na Mmakonde.
Kitu kinamtisha zaidi ni ile generation iliyo active na muziki inavyomkubali Zuchu....watoto wadogo wanaimba nyimbo za Zuchu kama wametunga nae...watoto wa secondary mpaka vyuoni ni Zuchu hii kwa kweli inamuogopesha.
Pole sana Nandy utazoea kila zama na vitabu vyake. Hata wewe uliwakuta kina Lady Jaydee na Vanessa Mdee wakasanda tena Vanessa akaingia mpaka kwenye uraibu.
Huu sasa ni wakati wa Zuchu. Zuchu ndio msanii wa kike namba moja East Africa kwa sasa. Kubali na uzoee lasivyo na wewe utaishia kula unga.
Unajiliza kutengeneza huruma ili watu wakuokoe na kibano cha Zuchu ila haitosaidia kukandwa kupo pale pale.
itakuwa Zuchu huyu.Sawa Nandy
Zuchu ni very bright anatumia hekma kuishi na mtu aliye confused. Ila Nandy ni nyoka anamtafuta mwenzie wagombane.Acha ushambenga,,,Zuchu anamheshimu Sana Nandy ndio maana kila Mara amekuwa akimuita Da Fau ishara ya heshima,,,Sasa chawa umeshaanza uchonganishi
Mpumbavu pekee anaetegemea kukutana na habari za kiuchumi kwenye jukwaa la celebrities. Kuna jukwaaa la biashara na uchumi.Nchi hii hizi habari ndiyo muhimu kwerikweri....maana ndiyo zinajenga mauchumi
Ova
Haichekeshi ishazoeleka comment ya hivi.Nandi ni nani na Zuchu ni nani? Wanajishughulisha na nini? Kama ni walimu wanafundisha mkoa gani? Kama ni madaktari wapo mkoa gani? Zuku na Nandi ni ME au KE?
Kila ulichoandika upo sahihi.Ukute hata hujanywa chai hapo ulipo lakini upo busy kudiscuss ugomvi wa kina Nandy na Zuchu.
Kama wanaogopana wewe inakuongezea ama kukupunguzia nini?
Naamini kuna migogoro mingi katika ukoo wako, kwanini usingeanza kujadili hiyo ambayo ina tija kwako.
Upo sahihi kabisa.itakuwa Zuchu huyu.
umejibu kistaarabu mpaka nimejiona mjinga mwenyewe.Kila ulichoandika upo sahihi.