PesaNdogo
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 1,994
- 1,293
Hela?WTF!
Is it even something to brag about in public.
Hela zilikuwepo tangu kipindi cha Yesu, sema wewe ndiyo umezipata saa hizi.
Pole sana.
Ila ukweli utabaki kuwa pale pale,
Kizazi hiki kimeoza siyo vijana wa kiume wala wa kike.
Kwanza ninyi mnaojiiita mna hela,
Ndiyo wengi wenu mnaongoza kuwa wazazi wabovu.
That's a fact..Swallow it!!!
Unaonekana umepanic, huelewi.
Wanawake wa zamani hawakuwa na namna ya kujitegemea hivyo ilikuwa lazima wawe watii na wavumilivu kwa waume zao lakini sasa hivi ni tofauti kwa sababu wanatafuta hela wenyewe na wanaweza kujitegemea hivyo wakifanyiwa vitu vibaya wana amua kuondoka...
umechanganyikiwa kwa kweli, hufikirii hata sekunde unakurupuka kujibu. Hela za wakati wa kale zilikuwa za nani? Hata kurithi mwanamke alikatazwa.
Hata mjinga akikaa kimya huonekana ana busara: usikurupuke.