Kiongozi awe mstari wa mbeleMnamchosha kiongozi.
Vijana wameshavurugwa sanaTuanzie hapa.
Nini chanzo cha watu wengi kujitoa uhai.
Yuko sahihi sana. Kuna baadhi ya watu kushindwa kwao hudhani kunasababishwa na wengine! Hawa wenye hiyo mitazamo ya aina hii ni watu waliojawa na wivu roho mbaya na chuki za kila ainaDuh! Mshana Jr hebu njoo huku
Don't complain because if you complain that's means someone is responsible for your lifeEpuka sana kulaumu watu wengine kwa matatizo unayopitia ukinona una tabia kama hiyo basi acha mala moja maana itakupelekea uone hakuna Mungu.
Na ukishaanza ivo basi dalili za kupotea kimaisha utaanza kuziona maana itafika wakati utakata tamaa na kuingia kwenye makundi au hata kwenye imani potofu.
Unahisi nini kifanyike kuwaokoa vijanaVijana wameshavurugwa sana
Msongo wa mawazo
Kwa upande wako unaweza kuona hivyo.We are not complaining,we are praying
Hakuna kitu malalamiko yatafanya…
🚮Mungu yupo mahali pote ulimwenguni