Fabi, hongera kumkumbuka huyu mtu, mimi nilishauri hivi kumhusu mtu huyuLeo nimemkumbuka sana ndugu yangu na rafiki yangu Ndugu Othman Masoud Othman aliyekuwa Mwanasheria mkuu wa Zanzibar kabla ya uteuzi wake kutenguliwa kwa kuwa tu aliipigia kura ya hapana katiba pendekezwa katika vifungu vinavyohusu muungano.
Sina hakika ni nchi gani tunaijenga na sina uhakika kama tunaweza kustawi na kuendelea ndani ya nchi ambayo watu wake hawana huru wa kufanya yale wanayoyaamini na kuyajua, badala yake kila mtu analazimika kufanya na kusema kile tu ambacho mkuu wake anataka kusikia au kuona.
Kwa mikono yetu kama taifa tunatengeneza taifa la watu waoga, wasio na uwezo wa kutoa sauti zao kueleza yale wanayoyaamini na kufikiria, badala yake sasa tunaamini kwamba ni RAIS PEKE YAKE ANAEJUA na hivyo tunafuata na kufanya lile tu analotuagiza.
Ndugu yangu Othman Masoud
Othman alisahau kwamba ukiwa Tanzania si kila jambo unapaswa kuliongea kwa namna unavyojisikia wewe. Kwa kutoa tu maoni yake ambayo yalipingana na maoni ya wakuu wake alionekana mtu asiyefaa na kuvuliwa cheo chake mara moja.
Raisi Obama ambae ni raisi wa taifa lenye nguvu zaidi duniani lakini kuna wakati na sio mara mija anakubali kwamba kuna mahali sera zake hazikuwa sahihi na anakaa na wapinzani wa sera zake wanajadiliana na mwisho wa siku kila mtu anakuwa ameridhika na nchi inastawi, tuihurumie Tanzania yetu, haya matabaka ya hawa na wale siyo mazuri na hayatatusaidia kama nchi, tuvumiane, tusikilizane tuijenge nchi yetu.
Fabian Izukene
Umemaliza kila kitu mkuu , asante sana .Mkuu Pasco sijaelewa umeongea nini. Ninachojua ni kwamba ile bunge la katiba haikuwa project ya watu wa kundi flani hivyo kumlazimu kila mtu kukubaliana nayo, lakini hata kama ingekuwa hivyo, ukiashasema tu kwamba ni KURA YA MAONI, pale kila mtu anao uhuru wa kuongea chochote kwa kadri ya utashi wake. Alichofanyiwa huyo mzee ni sawa na unaambiwa, Chagua A au B lakini usichague B kitu ambacho ni nonsense. Ni kweli ulivyosema kwamba serikali inaundwa na kundi la watu flani wenye common understandings, katiba na kila kitu, mfano CCM, lakini ili hili kundi liendeshe hiyo nchi ni lazima kuna mambo inahtaj wajadiliane na wakubaliane, sasa ukiwa kiongozi wa hilo kundi ukakataza hayo majadiliano na badala yake ukataka kundi lifanye unayotaka wewe, hapo ndo yanatokea hayo niliyoeleza hapo juu.
Mwanasheria Mkuu yuko bungeni kama ex-official, lakini sio mbunge!, yuko pake kulinda na kutetea interest za serikali, hivyo maoni yoyote atakayoyatoa sio maoni yake binafsi bali ni msimamo wa serikali!. Huwezi kutoa maoni tofauti wakati wewe ni mwakilishi wa serikali!.Mkuu Pasco sijaelewa umeongea nini. Ninachojua ni kwamba ile bunge la katiba haikuwa project ya watu wa kundi flani hivyo kumlazimu kila mtu kukubaliana nayo, lakini hata kama ingekuwa hivyo, ukiashasema tu kwamba ni KURA YA MAONI, pale kila mtu anao uhuru wa kuongea chochote kwa kadri ya utashi wake. Alichofanyiwa huyo mzee ni sawa na unaambiwa, Chagua A au B lakini usichague B kitu ambacho ni nonsense. Ni kweli ulivyosema kwamba serikali inaundwa na kundi la watu flani wenye common understandings, katiba na kila kitu, mfano CCM, lakini ili hili kundi liendeshe hiyo nchi ni lazima kuna mambo inahtaj wajadiliane na wakubaliane, sasa ukiwa kiongozi wa hilo kundi ukakataza hayo majadiliano na badala yake ukataka kundi lifanye unayotaka wewe, hapo ndo yanatokea hayo niliyoeleza hapo juu.
Mwanasheria Mkuu yuko bungeni kama ex-official, lakini sio mbunge!, yuko pake kulinda na kutetea interest za serikali, hivyo maoni yoyote atakayoyatoa sio maoni yake binafsi bali ni msimamo wa serikali!. Huwezi kutoa maoni tofauti wakati wewe ni mwakilishi wa serikali!.
Soma bandiko langu la kushauri atimuliwe kazi haraka na ni kwa nini!.
Pasco

Naaam, na ndo tulivyo wengi wetu, hatuamini na hatukk tayar kutetea misimamo yetu, tunasubiri wenye mamlaka watuambie nini cha kufanya tunafanya. Poor TanzaniaPasco kumbuka wazanziber walikuja na kauli moja ila baada ya kukanya aridhi ya Tanganyika tu wakatawanyikai, masoud akabaki na msimamo wake
Mkuu Fabi, Fabian the Jr , haya tena, mtu wako huyuNdugu yangu Othman Masoud
Othman alisahau kwamba ukiwa Tanzania si kila jambo unapaswa kuliongea kwa namna unavyojisikia wewe. Kwa kutoa tu maoni yake ambayo yalipingana na maoni ya wakuu wake alionekana mtu asiyefaa na kuvuliwa cheo chake mara moja.
Raisi Obama ambae ni raisi wa taifa lenye nguvu zaidi duniani lakini kuna wakati na sio mara mija anakubali kwamba kuna mahali sera zake hazikuwa sahihi na anakaa na wapinzani wa sera zake wanajadiliana na mwisho wa siku kila mtu anakuwa ameridhika na nchi inastawi, tuihurumie Tanzania yetu, haya matabaka ya hawa na wale siyo mazuri na hayatatusaidia kama nchi, tuvumiane, tusikilizane tuijenge nchi yetu.
Fabian Izukene
Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!.Othman Masoud anamuona Hussein Mwinyi kama mateka asiyeweza kuitetea Zanzibar, hadhi, maslahi, na haki zake.
Msikilize Othman Masoud hapa chini.
Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.Fabi, hongera kumkumbuka huyu mtu, mimi nilishauri hivi kumhusu mtu huyu
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla ...
na baada ya siku mbili toka bandiko hili,
RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA ...
Kwenye serikali, kuna kitu kinaitwa "a collective responsibilities", Mwanasheria Mkuu ni ex official wa cabinet, mkiisha amua na kukubaliana jambo, lazima muwe wamoja, kama hukubali, unajiuzulu ndipo unatofautiana na serikali yako!.
Mtu mwenye msimamo na mawazo mbadala, angejiuzulu kwanza, huyo jamaa ni muoga kama kunguru!, badala ya kujiuzulu na kuongoza kampeni ya kuikomboa Zanzibar, alisusa na kujifungia chumbani kwake hotelini!.
Watu waoga wa type hii, hawafai katika mapambano ya ukombozi!.
Pasco
Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!.Othman Masoud anamuona Hussein Mwinyi kama mateka asiyeweza kuitetea Zanzibar, hadhi, maslahi, na haki zake.
Msikilize Othman Masoud hapa chini.
Fabi, hongera kumkumbuka huyu mtu, mimi nilishauri hivi kumhusu mtu huyu
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla ...
na baada ya siku mbili toka bandiko hili,
RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA ...
Kwenye serikali, kuna kitu kinaitwa "a collective responsibilities", Mwanasheria Mkuu ni ex official wa cabinet, mkiisha amua na kukubaliana jambo, lazima muwe wamoja, kama hukubali, unajiuzulu ndipo unatofautiana na serikali yako!.
Mtu mwenye msimamo na mawazo mbadala, angejiuzulu kwanza, huyo jamaa ni muoga kama kunguru!, badala ya kujiuzulu na kuongoza kampeni ya kuikomboa Zanzibar, alisusa na kujifungia chumbani kwake hotelini!.
Watu waoga wa type hii, hawafai katika mapambano ya ukombozi!.
Pasco
Mkuu Fabi, Fabian the Jr , haya tena, mtu wako huyu
Kwa maoni yangu, huyu mtu anatakiwa awekwe pembeni, apate muda wa kutosha ajishughulishe na siasa, kwasababu ACT ndani ya GNU wanatakiwa kutekeleza Ilani na sera za CCM!.
Ushauri kama huu kumhusu mtu huyu huyu niliwahi kuutoa kule nyuma na ukatekelezwa, Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii
P
Huyo ni dodoki la kina covid 19 tuEt muoga???cjui ww uliwahi kufanya lipi kubwa
Toka lini mtu muoga akasimama na kupinga kile alichokitaka bosi wake? Paskali usitufunge kamba.Fabi, hongera kumkumbuka huyu mtu, mimi nilishauri hivi kumhusu mtu huyu
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla ...
na baada ya siku mbili toka bandiko hili,
RAIS DK. SHEIN AMFUTA KAZI MWANASHERIA MKUU SMZ NA ...
Kwenye serikali, kuna kitu kinaitwa "a collective responsibilities", Mwanasheria Mkuu ni ex official wa cabinet, mkiisha amua na kukubaliana jambo, lazima muwe wamoja, kama hukubali, unajiuzulu ndipo unatofautiana na serikali yako!.
Mtu mwenye msimamo na mawazo mbadala, angejiuzulu kwanza, huyo jamaa ni muoga kama kunguru!, badala ya kujiuzulu na kuongoza kampeni ya kuikomboa Zanzibar, alisusa na kujifungia chumbani kwake hotelini!.
Watu waoga wa type hii, hawafai katika mapambano ya ukombozi!.
Pasco
Nani kasema serikali 3 ni kuvunja muungano? Zanzibar na Tanganyika wengi (rasimu ya warioba) walitaka hizo 3 ikiwa ni pamoja na SMZ. Tatizo ni ccm wakaja na ya kwao na kulazimisha zenj kufuata msimamo huo. Maalim seif na OMO walisimama serikali 3 ndani ya muungano.Serikali ya GNU japo ni serikali ya mseto, lakini inaongozwa na Ilani ya uchaguzi ya CCM, hivyo ACT ndani ya GNU ama wanatakiwa kuhubiri ilani ya uchaguzi ya CCM, na sera za CCM ama wanyamaze kimya, halafu wale ACT wengine nje ya GNU ndio wanaweza kuendelea kupiga siasa za ilani ya ACT!.
Ndani ya Serikali, kuna kitu kinaitwa a collective responsibilities, ukiishakuwa ndani ya serikali, huwezi kusema jambo lolote ambalo ni kinyume cha sera na ilani inayotawala ukabaki salama.
Maalim Seif alipokuwa ndani ya GNU, alinyamaza, hivyo Masoud Othman Masoud ama naye anyamaze, ama atoke nje ndio akaendelee kuhubiri kuuvunja huu muungano wetu adhimu!.
Mtu aliyemo ndani ya serikali, hawezi kuyasema maneno kama haya