David Peter Sembosi Member Joined Jun 29, 2013 Posts 38 Reaction score 1 Jul 15, 2013 #1 "Hivi ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya hawa wawili,(Anayeomba pesa au asiyeomba pesa) kwa mpenzi wake?"
"Hivi ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya hawa wawili,(Anayeomba pesa au asiyeomba pesa) kwa mpenzi wake?"
zomba JF-Expert Member Joined Nov 27, 2007 Posts 17,240 Reaction score 3,935 Jul 15, 2013 #2 Mpenzi mume wake au hawara yake?
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Jul 15, 2013 #3 David Peter Sembosi said: "Hivi ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya hawa wawili,(Anayeomba pesa au asiyeomba pesa) kwa mpenzi wake?" Click to expand... Wewe umetoka tuition muda gani?Halafu umefua nguo za shule?
David Peter Sembosi said: "Hivi ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya hawa wawili,(Anayeomba pesa au asiyeomba pesa) kwa mpenzi wake?" Click to expand... Wewe umetoka tuition muda gani?Halafu umefua nguo za shule?
M Mwananjengo JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 317 Reaction score 101 Jul 15, 2013 #4 David Peter Sembosi said: "Hivi ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya hawa wawili,(Anayeomba pesa au asiyeomba pesa) kwa mpenzi wake?" Click to expand... Matokeo c unayaona yalivyo mabaya,we acha kusoma uangukie pua kama wenzako.
David Peter Sembosi said: "Hivi ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya hawa wawili,(Anayeomba pesa au asiyeomba pesa) kwa mpenzi wake?" Click to expand... Matokeo c unayaona yalivyo mabaya,we acha kusoma uangukie pua kama wenzako.
HorsePower JF-Expert Member Joined Aug 22, 2008 Posts 3,612 Reaction score 2,569 Jul 16, 2013 #5 David Peter Sembosi said: "Hivi ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya hawa wawili,(Anayeomba pesa au asiyeomba pesa) kwa mpenzi wake?" Click to expand... Nani aliyekwambia kuomba au kutokuomba pesa ni kigezo cha kupima mapenzi ya kweli kwa mtu?
David Peter Sembosi said: "Hivi ni yupi mwenye mapenzi ya kweli kati ya hawa wawili,(Anayeomba pesa au asiyeomba pesa) kwa mpenzi wake?" Click to expand... Nani aliyekwambia kuomba au kutokuomba pesa ni kigezo cha kupima mapenzi ya kweli kwa mtu?
Vaislay JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 4,532 Reaction score 1,840 Jul 16, 2013 #6 we bado kumbe kwenye hii fani,ungekua mkongwe usinge uliza swal kama hilo
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,190 Jul 16, 2013 #7 ^^ Msaidieni jamani,, ^^