Ukweli ni upi na usahihi ni upi?

Ukweli ni upi na usahihi ni upi?

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
970
Reaction score
2,360
Wakubwa shikamooni,

Leo ni siku nzuri yenye furaha ikiwa ni katikati ya mwezi wa kumi na moja.

Kwangu ni siku nzuri na ya muhimu,lakini pia ni siku nimeletewa zawadi fulani na boss,dada na mkubwa wangu ikiwa ni alama ya upendo na mahusiano mema kazini na nyumbani .

Lakini pamoja na hayo jana nimepatq kuona video moja inayonesha miili ya ndugu zetu na watanzania wenzetu ikiwa imerundikwa sakafuni.jambo lililonikosesha amani na usingizi.

Picha inaogopesha na kutisha mno,lakini cha ajabu nimeona muda si mrefu mamlaka fulani inasema Ile picha ni feki,je ukweli ni upi?

Mbona kama hatupo salama?

Karibuni tufahamishane.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom