Wakuu habari,
Nimegundua tu CCM wana akili sana na wanawaza kimkakati zaidi
Tunaweza kuona chawa hafai kuwa kiongozi, lakini wao wametumia ushawishi wa uchawa katika siasa na kuangalia wingi wa wafuasi, japo wajumbe huwa hawasomeki moja kwa moja.
Kwa hili nyomi naona kabisa Baba Levo anachukua kiti cha ubunge Kigoma Mjini, tusishangae sana ila tujiandae kufuatilia bunge la uchawa
Soma pia

- GE2025 - Revokatus Chipando (Baba Levo) ateuliwa kugombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kupitia CCM
- GE2025 - Baba Levo: Ukilitaja Jina la Rais Samia wananchi wa Kigoma Mjini wanafurahia, wanajisikia raha sana