Uchaguzi 2020 Ukweli ni kwamba CCM tuliiba uchaguzi kishamba

Uchaguzi ulitekwa wote, baada ya matokeo ndio mchakato wa kuwanunua Covid 19 ukalazimishwa
Waliiba Wakasahau Takwa La Lazima Kuhusu Kamati Za Bunge
Wakalazimika Kuchukua Hao Wamama Kwa Gharama
Ccm Inatia Kinyaa Mno!!!😑😐😐
 
hahaahaa mnyalukolo umenichekesha Sana nimekumbuka enzi hizo nikiwa dogo tu Njombe mbunge wa enzi hizo mzee Makweta alikua anawashika akili Sana wazee wa huku kila mwaka wanampitisha agombee hakuna anayepinga yaani watu wapo Kama mazuzu tu kila kitu ndio ndio nikaamini ama kweli mtaji wa CCM ni wajinga!
Jackson Makweta alikuwa mbunge wa kudumu pale Njombe alikuwa hafanyi chochote na anachaguliwa
 
Ninaomba majibu. Mbona watu wengi walilia sana hata wengine kufia kwenye kuuaga mwili wake kama vile alikuwa kipenzi cha wengi. Hawakuyaona haya yaliyokuwa yakitendeka katika utawala wake ya ubaya uliopitiliza.
Watu mtaani kwenda kuaga maiti ya marehemu ni mila za Kiafrika. Hapa Dar hata Marehemu Stephen Kanumba naye alifunga mtaa kwenye msiba wake.

Hata Ruge Mutahaba naye alifunga nyomi.

Kama mtu wenu Mwendazake anakubalika si mkae kimya mtuache sisi tusiomkubali tuandike mpaka tuchoke. Wala msisome maandishi yetu
 
Binafsi mie ni CCM toka mwaka 2011.

Kilichotokea mwaka Jana ni aibu tupu, na ushenzi uliopitiliza, hivi inawezekanaje CCM tushide majimbo yote kiasi kile, inawezekanaje Magufuli ashinde kwa kiwango kile.

Ni hivi kila mwaka CCM tunaibaga kura Ila kiakili, mfano tunaiba baadhi ya majimbo, Ila kwenye stronghold za upinzani tunawaachia.

Kilichotokea mwaka Jana ni upumbavu wa hali ya juu, niwaambie kuwa CCM wanaitaji Sana upinzani bungeni, kina Magufuli, Bashiru, polepole na Tiss walivyoshtuka kuwa bunge lazima liwe na kambi rasmi ya upinzani bungeni ndo wakaja kununua hao Covid-19, lakini ilikuwa too late, yaani kwa wizi ule walijipaka kinyesi usoni.

Na watu wengi wa CCM hatukupenda ushenzi ule,, na matokeo yanaonekana wapinzani wamekuwa very strong, wanajenga ofisi nchi nzima na wizi wa mwaka Jana umekuja ku-backfire na Sasa vuguvugu la katiba mpya linazidi kuwa kubwa.

Viongizi wa CCM najua mmejifuza, kutumia manguvu, kununua upinzani na kuiba uchaguzi ni hatari si kwa taifa Bali kwa chama pia

Tuelimishe kidogo. Ni sheria gani inayosema Bunge LAZIMA liwe na Kambi Rasmi ya Upinzani?

Kipimo cha “hii ni stronghold ya upinzani” ni nini?
 
Back
Top Bottom