Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,367
- 55,054
Yupo Online ila anaangalia uzi anasema hiiiiiiiiiii.Tunamsubiri mkuu akirudi tunae huyo
Yupo Online ila anaangalia uzi anasema hiiiiiiiiiii.Tunamsubiri mkuu akirudi tunae huyo
Hahahah lazima achanyikiwe huyo analeta upuuzi hapaYupo Online ila anaangalia uzi anasema hiiiiiiiiiii.
Tumechoka kuvumilia hivi vivulana vinavyodhalilisha wanawake ambao ni mama zetu na dada zetu!Yupo Online ila anaangalia uzi anasema hiiiiiiiiiii.
Tumechoka kuvumilia hivi vivulana vinavyodhalilisha wanawake ambao ni mama zetu na dada zetu!
Sasa hivi mwendo ni makavu live, lazima wakimbie nyuzi zao za kipuuzi!
Itabidi Mods wawe waungwana. Hii ni kampeni ya kurekebisha tabia.Nitajitahidi kwa juhudi zote kusaka nyuzi zao, naomba tu Ban isije kutokea.
maoni yangu wewe usiwanunueMimi naamini wadada wa siku hizi 85% wanajiuza ila kuna tofauti ya kujiuza kuna yule anayejiuza kwa wanaume Tofauti Tofauti na kuna yule anayejiuza kwa mwanaume mmoja.
Maoni yenu wa Wadau
Hii huwa sio hoja, ni mhemko. Mtu kuwa changu hakumzuii kuwa mama. Kuna machangu wengi tu wana watoto. Ukweli kuhusu wanawake haujali Kama miongoni mwao ni kina mama. Halafu huyu kasema 85% maana yake bado kuna 15%Mkuu kuna mama yako ujue
Sijui katumia data zipi kusema hapo 85% maana no research no right to speakHii huwa sio hoja, ni mhemko. Mtu kuwa changu hakumzuii kuwa mama. Kuna machangu wengi tu wana watoto. Ukweli kuhusu wanawake haujali Kama miongoni mwao ni kina mama. Halafu huyu kasema 85% maana yake bado kuna 15%
Tanbihi: Simaanishi mama wa mleta uzi ni Changi kwa kuwa simjui.
Ninavyoona: Sikubaliani na mtoa mada hadi atoe ushahidi.
Vipi mkuu ameshajibu??Nashukuru Mkuu kwa marekebisho