M Mufassa Member Joined Mar 10, 2022 Posts 18 Reaction score 45 Aug 20, 2022 #1 1. Mfanyakazi mwenye badii anakuwa rewarded na wingi wa kazi with little incentive na wajanja wajanja wanakula good times always.
1. Mfanyakazi mwenye badii anakuwa rewarded na wingi wa kazi with little incentive na wajanja wajanja wanakula good times always.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,200 Reaction score 99,934 Aug 20, 2022 #2 Mufassa said: 1. Mfanyakazi mwenye badii anakuwa rewarded na wingi wa kazi with little incentive na wajanja wajanja wanakula good times always. Click to expand... Naam!
Mufassa said: 1. Mfanyakazi mwenye badii anakuwa rewarded na wingi wa kazi with little incentive na wajanja wajanja wanakula good times always. Click to expand... Naam!
K kitandachapesa Senior Member Joined Jun 8, 2019 Posts 157 Reaction score 164 Aug 20, 2022 #3 Mzigo mzito mpe mnyamwezi......... Haimaanishi ndo atalipwa sana..ila yeye atauweza. Hiyo ya hivo ipo sana lakini sio Kila kada.. Mwisho usisahau KUFANYA KAZI KWA BIDII KUNALIPA.
Mzigo mzito mpe mnyamwezi......... Haimaanishi ndo atalipwa sana..ila yeye atauweza. Hiyo ya hivo ipo sana lakini sio Kila kada.. Mwisho usisahau KUFANYA KAZI KWA BIDII KUNALIPA.