yomboo
JF-Expert Member
- May 9, 2015
- 6,226
- 4,894
Mtu mwenye familia Yake Na civilized hawezi Kua Na mdomo mchafu kiasi hicho! Au malezi pia yanachangia sana kumshape Na kumfanya mtu awe Kama alivyo Ktk Jamii.
Jamii gani??
Maneno machafu unayajua??
Kama unayajua na wewe pia mchafu soma utengeneze maisha yako
Acha kusifia wenzako