Ukweli mchungu: Lowassa ameshatoswa na CCM

:llama:nyie hangaikeni tuuu.... but mimi sio mshabiki wa lowassa ila kwa upepo unavyoenda huenda akawa mgombea wa kiti cha usais
 
:llama:nyie hangaikeni tuuu.... but mimi sio mshabiki wa lowassa ila kwa upepo unavyoenda huenda akawa mgombea wa kiti cha usais

Yeyote atakayekuja atakutana namoto wetu, ila hapa tunaonyesha hali ilivyo!
 
CCM wamepanga kuwateua Dr. Shein na Mizengo Peter Pinda kuwania uteuzi wa urais kupitia chama cha mafisadi.

WanaCCM wapende wasipende hilo ndilo azimio la siri la NEC-CCM.
 
Maccm hayana lolote la kutuambia hapa. Kitu ninajua, Edo akiutaka huo urais kupitia cccccmmm ataupewa tena fomu iliyokwisha pitishwa itapelekwa nyumbani kwake.
Nnani asiyeijua ccm??? Hao wakiona noti tu, huchanganyikiwa. Wanasemaje kuhusu uadilifu?? Uadilifu ccm ni kama kwenda kutafuta kiti moto bucha ya nyama ng'ombea tena duka la Rama. Utaipata hapo hii nyama??
Hakuna mwadilifu hata mmoja, sana sana wanangojea kidume atakayetoa zaidi kuwapiku wengine. Nanyi ccm nnani mwenye uwezo kifedha kushindana na Edo?? Kawadanganyeni wengine hukoooo lakini humu JF, hampati kitu.
Laana ya rushwa itawaangamiza wenyewe tu Mola yupo.
 
Kinana anawadanganya watu tu kwa sababu mpaka sasa hakuna msafi hata mmoja kwenye ccm alafu anasema uadilifu yeye je ni mwadilifu?
 
Kuna matumizi mabaya ya lugha hapa. neno UADILIFU haliwezi kutajwa na yeyote kati ya wanaotafuta urahisi. Siamini kama wanajua maana ya neno hilo!
 
CCM wamepanga kuwateua Dr. Shein na Mizengo Peter Pinda kuwania uteuzi wa urais kupitia chama cha mafisadi.

WanaCCM wapende wasipende hilo ndilo azimio la siri la NEC-CCM.

wakiwapitisha hawa itakuwa safi sana






ili






upinzani uchukue madaraka kwa urais
 

Lowassa asipokua rais hii nchi itaingia vitani.
 
Mleta uzi tunashukuru kwa kutupa faraja watz tuliochoka na suala la Lowasa kila kukicha Lowasa Lowasa. Asante kaka mungu akubariki sana kwa faida ya Tanzania.
 
Ukiona kila moja wenu anamuandama lowassa basi mnaujua ukweli uko wapi. Sasa mimi nawahakikishia lowassa anapita na hakuna ndani ya chama anaeweza jilinganisha nae (wapo lakini umri umeenda Ie; salim Ahmed salim).. mtaonggea sana na kusemamengi lakini mwisho wa siku mkombozi wa watanzania (lowassa) ndo ataingia and trust me all, he will take us another level no Tanzanian has ever thought would reach.
 

Lowassa asipokua rais hii nchi itaingia vitani.
 

Una utani wewe, unajua maana ya ukombozi? au ndo ninyi mlioenda kukombolewa xmans iliyopita kule nyumbani kwake?
 
hawa maaskofu na wachungaji ndo wezi wa jasho la wananchi makanisani halafu wanajifanya kumponda lowasa mbona wachungaji waliopiga fedha za escrow hawawaxemi,huo ushoga mkileta huku zenji wallah mtafirwa
 
Kwa sasa Tanzania ni km familia yenye watoto yatima,hakuna baba wala mama. Kipindi Baba Wa Taifa yupo hai aliweza walau kukemea na kutoa uamuzi wa nani ateuliwe kugombea urais, lakini sasa ni hela ndizo zinafanya...sijui mwenyekiti wa Chama ana mamlaka gani kwny uteuzi, lskini ninavojua mm Kikwete hawezi kumuangusha swahiba wake Lowassa
 
Wasipompa lowasa tiketi ya kugombea Urais Ukawa tunajichukulia nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…