Hata research yenyewe ukifanya huwezi kupata jibu kwa asilimia 100.. Ila unakua conclusive kutokana na upande upi umezidi mwenzie.. So inawezekana kuna exceptional ila chache.no research no right to speak..wengine tumelelewa na single mothers na tuko vzr mnooo..msiishi maisha ya kukariri bandugu
well said, au eneo unalokaa teh teh sikubali kabisa watusemee mama zetu waliopambana usiku na mchana kunifikisha nilipo.Hata research yenyewe ukifanya huwezi kupata jibu kwa asilimia 100.. Ila unakua conclusive kutokana na upande upi umezidi mwenzie.. So inawezekana kuna exceptional ila chache.
Tafadhari jamuhuri ya muungano wa Tanzania imjengee sanamu kwa heshima na tahadhima"SINGLE MOTHER'S WANAWAHARIBU WATOTO WAO TABIA"
"Wazazi tuna nafasi kubwa sana ya kuwasaidia wasichana kusimama lakini kwa sababu ya mambo mengi na dunia ilipo, tunawahonga na tunawaogopa watoto wetu"
"Kwa wazazi wa upande mmoja "Single Parents" ikitokea bahati mbaya akilelewa na mwanamke 'Single mother's' wengi wanakuwa watoto wabaya (kitabia) wawe wa kiume au wa kike sisi tuna zile hisia za wewe kama mwanamke kuwa peke yako na kupeleka kwa mtoto yaani unamuhonga unajaribu kuweka nafasi yako kwa mtoto unaona yuko vizuri kumbe unampoteza kwahiyo malezi ni kitu muhimu sana" Rose Urio, Malkia wa Nguvu.
.......................NAWASILISHA........................View attachment 1717517View attachment 1717518
Kaaa kimya kijana wa kutoka mbeya wewe,unawaaibisha wenzioTafadhari jamuhuri ya muungano wa Tanzania imjengee sanamu kwa heshima na tahadhima
Mimi sio wa mbeya maana vijana wakule kama wa dodomKaaa kimya kijana wa kutoka mbeya wewe,unawaaibisha wenzio
Unajijua vp uko vizuri?no research no right to speak..wengine tumelelewa na single mothers na tuko vzr mnooo..msiishi maisha ya kukariri bandugu
heee jamani mkuu unaachaje kujijua uko vizuri,,,i normally access myself before comments from others.Unajijua vp uko vizuri?
Unaweza ukajiona upo sawa Ila wanaokuzunguka wakaziona kasoro zako,no research no right to speak..wengine tumelelewa na single mothers na tuko vzr mnooo..msiishi maisha ya kukariri bandugu
Supa wumaniSingle mother Ni Nani?
Kuna double mother??
Nakubali lkn sio wote...na ktk single mothers hiyo hiyo zipo category tofauti .hope tuko same pageUnaweza ukajiona upo sawa Ila wanaokuzunguka wakaziona kasoro zako,
Kwa wanawake wengi waliyolelewa na single mother wengi wao pia huishia kuwa single mother kwa ajili ya viburi na wao kujiona wanaweza.