junior tz
Member
- Jun 10, 2017
- 34
- 27
Ukiwa unabet kubaliana na haya:
1. Kuwa mwizi
2. Mawazo
3. Kuchelewa kulala
4. Kuzichukia team
5. Matusi
6. Ugomvi
7. Kutokwa jasho.
8. Hasira
9. Unavyoliwa zaidi ndiyo unabet zaid
10. Umasikini Mbele
11. Muhindi amekula millions tangu uanze kubet wewe buku ten ukizid s anaa 70 elfu.
12. Utakuwa na hesabu hata kabla hujashinda pesa
13. Kila siku Team moja au mbili znazngua.
14. Unadanganya kuwa hujabet kumbe umebet.
USHAURI JITAHIDI KUPAMBANA NA HALI YAKO.