Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,234
Ni ukweli usiopingika kuwa Naibu spika wa Bunge Dr. Tulia amekua hapendwi hata na wabunge wa Chama chake mwenyewe humo Bungeni. Naibu spika amekua na tabia ya kuringa na kubinua mdomo wake na kuwaangalia wenzie kupitia juu kidogo ya miwani yaake amekua kero kwa Wabunge wote bungeni.
Dr. Tulia amekua na rigid decision ambazo zimeweza kuwachukiza wengi hasa kipindi hiki ambacho Spika wa bunge hayupo.
Vyanzo vya taarifa hapa bungeni vinasema kama ikitokea hoja ya Kumng'oa wabunge wa CCM wameapa kutofanya makosa kwani ndo aliosababisha Mheshimiwa Waziri Kuwaita Wanasiasa Vilaza Kumbuka siku ya hoja ya kufukuzwa kwa wanafunzi zaidi ya 7,800 wa Chuo Kikuu Cha Dodoma yeye ndo alikataa suala hilo lisijadiliwe Mheshimiwa Rais akaja Kupangua hoja kinamna ambavyo sisi wasomi tumekua na maswali mengi vichwani mwetu kwani awali Taarifa ya Waziri ilikua ikieleza vitu tofauti na vile vilivyoropokwa/semwa Siku ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Maktaba mpya ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.