mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,722
Wapinzani Sasa wanaishi kwa kuviziavizia matukio au tuhuma au changamoto za serikali iliyoko madarakani kama kete za wao kuonekana bora. Kwa maoni yangu kama Kuna kosa kubwa ni kuja kuwapa nafasi wanayotafuta ya kushika dola kwa kuwekeza katika yanayodhaniwa kuwa ni mapungufu ya serikali hii.
Upinzani badala ya kuwashawishi wananchi wao wangefanya nini kwa ubora upi huku wakionyesha mfano mdogo wa matumizi ya ruzuku zao wanazitumiaje. Wanawekeza kwenye post za mange, matukio, na kukaa wakisubiri kama Kuna chochote mitandaoni ili wakisimamie. Hapo tunasema hapana. Mjirekebishe...
Kiatu kikichanika au kupata tope unakishona au unakisafisha sio kukitupa na kutembea peku(kuwakabidhi watu wasiojielewa, wasiona misimamo na chochote kile na mipango hafifu sana iliyochini ya matarajio ya mtanzania).